Wanajifurahisha tu eti historia. Maneno mengi mno na kujitapa kwingi ndo maana wakati mwingine tunafurahi wakifungwa. Na msemaji wao yule dah!
View attachment 1787257
Aibu tupu yaani
View attachment 1787260
Bwahahaha naona mnyama kapiga Lingerie,.......Wanajifurahisha tu eti historia. Maneno mengi mno na kujitapa kwingi ndo maana wakati mwingine tunafurahi wakifungwa. Na msemaji wao yule dah!
View attachment 1787257
😂😂Nilimuona mpaka wakawa wakali kidogo.
Zaidi kabisa Kwa mikiaUtopolo ni kazi sana
Wewe ndiye uweke sourceThibitisha tuhuma zako