Rekodi za ukoo za kwako ni zipi?

mzee wangu pia ndio mtu ktk familia yao aliyefanikiwa kwenda ulaya miaka ile ya 80,alirudi na dawa za meno, colgate nyingi sana akawa anatoa zawadi kwa ndugu zake, duu wakampachika jina la macolgate
 
mzee wangu pia ndio mtu ktk familia yao aliyefanikiwa kwenda ulaya miaka ile ya 80,alirudi na dawa za meno, colgate nyingi sana akawa anatoa zawadi kwa ndugu zake, duu wakampachika jina la macolgate

haki ya mungu umenikumbusha mbali saanaa lol
 
Miafrika Ndivyo Tulivyo

Rekodi zetu ni za ajabu kweli,..

lakini ndo mwanzo mzuri....
tukiweka rekodi hata kama za ajabu mwisho watoto na wajukuu wataweka rekodi za maana....
tuweke kumbukumbu vizuri....
 
Kwahiyo mpaka leo wangapi mmefika darisalamu??

ha ha haaaaaa funny unajua babu yangu aliwahi kujenga kariakoo enzi hizo
i wonder kama ingekuwa a different story ingekuwaje???????
 
Duh mie nafikiria bado familia imesoma hata babu yangu aliendaga ulaya miaka ya 50s 60s na wenzake walienda.

Nadhani kusoma kujiendeleza kuwa na pesa zinaleta heshima as wengi hata wasio ndugu wanakuabudu haswa ukiwa na roho nzuri ya kutoa hata wanao wataheshimika mbele as wazazi husumulia watoto etc

Na hii inanisaidia hadi leo kuheshimika masehemu sababu ya walichofanya wazee. Hivyo kuna budi kuendeleza kuliweka jina lilipo bila kuharibu

Oya
 
mimi nilikuwa mtu wa kwanza ktk familia kununuliwa zile raba za morogoro, maarufu kama moro shoes miaka ya 80 pale duka la Bora, samora avenue kwa shs 450/=
 
Duh mie nafikiria bado familia imesoma hata babu yangu aliendaga ulaya miaka ya 50s 60s na wenzake walienda.

Nadhani kusoma kujiendeleza kuwa na pesa zinaleta heshima as wengi hata wasio ndugu wanakuabudu haswa ukiwa na roho nzuri ya kutoa hata wanao wataheshimika mbele as wazazi husumulia watoto etc

Na hii inanisaidia hadi leo kuheshimika masehemu sababu ya walichofanya wazee. Hivyo kuna budi kuendeleza kuliweka jina lilipo bila kuharibu

Oya
Pesa ndo itafanya kila mtu akukumbuke....
 
Mimi nashikilia rekodi ya kufeli darasa la saba, kufeli fom foo, kufeli fom siksi na hatimaye kupata bahati ya kuja ughaibuni (kwa kutumia bank statements za Salamander) na kuwa wa kwanza katika familia kuwa mbeba maboksi.

kwa kweli umenifurahisha
 
Back
Top Bottom