Daraja2
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 285
- 346
Jana wananchi wamefurahi,ubaya -ubwela wamefurahi na watanzania kwa ujumla wamefurahi -kazi iendelee...........
Hakika MAMA unalitendea haki soka la Tanzania.
HONGERA SANA MAMA.Tupo pamoja sana !
Kupitia "goli la mama" tumeona Simba na Yanga zikifika fainali za kombe la shirikisho barani Afrika na "almanusra" zikuletee "ndoo" hapo magogoni ulibusu.
Hii rekodi ni yako umeianzisha na umeivunja wewe mwenyewe haijawahi tokea tangu kuzaliwa kwa Taifa la Tanzania.
Rekodi nyingine hii inakuja kwa Taifa stars kubeba ndoo ya CHAN -
WATANZANIA SHIME TUMUUNGE MKONO MAMA.
HAKIKA MAMA UNAZIDI KUTUHESHIMISHA KIMATAIFA.
Thanks a lot 🙏 !!!