Rejea kifo cha wazazi wa Anna: Maisha hayana maana kama hakuna kifo

Can you prove this??? If you can't prove this in either way then I say no more than its just a fallacy with no reasonable existence
Kinachokufa siku zote huwa ni mwili na si roho!
Haya maisha yako kama filamu.

Wafu hao walishaikamilisha mission yao duniani kwa namna yeyote ile wangekufa tu ili kupisha nafasi yao kuchukuliwa na kiumbe kingine ila kwa roho zilezile.
Naweza nisieleweke haraka iko hivi siku, saa, dk na sekunde waliyokufa wale wafu ndiyo siku viumbe wengine wapya walipata uhai.

Ikitokea mtu kafa na roho yake haijapata mahali pa kwenda basi ile roho itasumbua tu itahangaika sana hadi pale itakapopata makazi (mwili) ndipo itatulia
 
Waliouliza maswali ya kwa nini Mungu aliruhusu haya kwa ANNA mtoto mdogo hawakukufuru

Inabidi maelezo ya kina yatolewe...!! Na sio kuwakumu

Why God did this for her... For what purpose then?
 
Kweli
Yani mimi hata zile kauli "tangulia nasi tutafuata" "njia yetu ni moja" "kila nafsi itaonja mauti".
Sizitamki na sizipendi
Unachukia kifo kwakua unakuiogopa.. Kifo na kuishi vinaenda sambamba.. Ukiishi kazima ufe. Huwezi kukikwepa either unakupenda au hukipendi.

Ushajiuliza kwanini wakiogopa?
 
Waliouliza maswali ya kwa nini Mungu aliruhusu haya kwa ANNA mtoto mdogo hawakukufuru

Inabidi maelezo ya kina yatolewe...!! Na sio kuwakumu

Why God did this for her... For what purpose then?
Kwakua muda wao umefika.. ingekua kwa anne nae angeenda tu haijalishi
 
Ukiishi sio lazima ufe na ule msemo unaosema kila nafsi itaonja mauti sio sahihi pia maana biblia inasema Mungu atakuja kuwahukumu wazima na wafu..sasa hao wazima watatoka wapi kama kila mtu akifa.?
Unachukia kifo kwakua unakuiogopa.. Kifo na kuishi vinaenda sambamba.. Ukiishi kazima ufe. Huwezi kukikwepa either unakupenda au hukipendi.

Ushajiuliza kwanini wakiogopa?
 
Mungu hajui wakati wa kifo chako na aina ya kifo chako!!!

Kwa MTU asiyeamini maandiko pekee ndiye atakayekubaliana na upotoshaji huu..
 
Mungu hajui wakati wa kifo chako na aina ya kifo chako!!!

Kwa MTU asiyeamini maandiko pekee ndiye atakayekubaliana na upotoshaji huu..
Mungu sifa yake ni kutajua yote.. ila yeye hapangi kifo chako. Nature ndio inafanya kazi..Soma uhusiano kati subconscious mind na Nature vinavyofanya kazi
 
Ukiishi sio lazima ufe na ule msemo unaosema kila nafsi itaonja mauti sio sahihi pia maana biblia inasema Mungu atakuja kuwahukumu wazima na wafu..sasa hao wazima watatoka wapi kama kila mtu akifa.?
Ndio sio kila nafsi itaonja umauti maana kuna binaadamu wengine hawakufa kama Eliya na Henock.. Sidhani kama siku ile kuna mtu hatokufa maana ili Mungu akuhukumu inabidi uwe katika mfumo wa Roho sio mwili huu unaoharibika.. hauwezi ishi yale maisha ya Milele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom