Rejao Uko wapi?

aisee...mmetoka clinic..jamaa unampa mzigo ajilie kwa raha...mchana wote huuu..safi ngoja aongeze Miguu



Umeona jibu hapo juu...broda Rejao anaongeza kucha kwa kijacho

Hahahaha!achana na erick nitamjibu wiki end coz hua hana pa kwenda zaidi ya hm kwetu hapo ndio atajibeba!
 
@ wifi cantalisia kwani kuna nini hapa? Rejao kafanyaje tena?


@ Erickb52 wamtafutia nini kaka angu?..kama una shida nae nenda home kwake manake unapajua
 
Awapi mme wangu hua hachoki na hachoshwi aiseee!kwan ww huwa unachoka!!

hahahaha..mie kuchoka mwiko....ila nimekubali kweli ulikuwa unampatia cha mchana..ndio mmemaliza nini?....maana kuna muda ulipotea kdg....
 
rejao kaenda india kufanyiwa upasuaji wa lipua lake!just a joke!anyway mkuu Rejao pole sana!ndio siasa!
 
@ wifi cantalisia kwani kuna nini hapa? Rejao kafanyaje tena?


@ Erickb52 wamtafutia nini kaka angu?..kama una shida nae nenda home kwake manake unapajua

Darling wifi huyu erick ana matatizo sn,bora umemwambia na hm kwetu nishampiga marufuku asikanyage!
 
hahahaha..mie kuchoka mwiko....ila nimekubali kweli ulikuwa unampatia cha mchana..ndio mmemaliza nini?....maana kuna muda ulipotea kdg....

Wala hujakosea,ndio tumemaliza kula tumeshiba mpaka tukacheua!
 
Mambo BW,
Naona B52 leo kamuamkia mme wangu,
Rejao wangu mzima kbs na jana alilala japo uchovu kidogo but he is fine!

Tulikesha kidogo but tulikua tunatafakari ni mji gani dunia utakuwa mzuri kwa mapumziko baada ya mie kujifungua!

NEW ARUMERU MASHARIKI....Ndio mji teule
 
Hahahaha!achana na erick nitamjibu wiki end coz hua hana pa kwenda zaidi ya hm kwetu hapo ndio atajibeba!
Weekend Hii siji maana Rejao ataweza kumwagia tindikali buree
Heheheeeee
We mama kipua....
Mbona unanipa kashfa aisee???
Dah kweli mna hasira za kisiasa.....
 
Hahahaha!mimba ikishatungwa ndio basi hata tukipeana ni kwa raha zetu!
Hahahaaa tena kitu hakina hara wasiwasi wa kuipata nyingine....
Lol Njooni Arumeru hali ya hewa ni nzuri sana....kaubaridiiiii
 
Weekend Hii siji maana Rejao ataweza kumwagia tindikali buree
Heheheeeee
We mama kipua....
Mbona unanipa kashfa aisee???
Dah kweli mna hasira za kisiasa.....

Yaani ucje kbs,na ule mkopo ndio hupati tena ebo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…