Inawezekana huyo nyani yupo reincarnated na spirit ya mtu aliyekuwa msomi
Hapo naona walitokea Selous wakajikuta wapo Kibaha mjini,sasa kinachofuata ni Map reading.Ha ha ha ha......
Kuzaliwa kwenye umbo lingine baada ya kufamshana jr, siyo wote wanajua maana ya 'reincarnation'
mshana jr, siyo wote wanajua maana ya 'reincarnation'
noun (plural reincarnations)A rebirth of a mental capacity, such as a soul, in a physical life form, such as a bodyKuzaliwa kwenye umbo lingine baada ya kufa
Kuna tofauti ya reincarnation na rebirth
Reincarnation ni kuzaliwa mara nyingi kwenye maumbo tofauti ikiwemo wanyama kulingana na maisha yako ya nyuma
Rebirth ni kuzaliwa upya kiroho katika umbo lile lile na rebirth hufanyika ukiwa hai tu
mshana jr, siyo wote wanajua maana ya 'reincarnation'
Asante kwa kunielewesha.!Kuzaliwa kwenye umbo lingine baada ya kufa