p { margin-bottom: 0.1in; line-height: 120%; }
Uzi umekufa tena...
Wacha nitie tie maji ili kuzimua gumzo kwa tafsiri ya nukuu ya tundiko # 103.
Ninataka tukitafsiri kitabu chote humu ili kuongeza nuru na maarifa humu. Na mimi ninaanza, mwingine anaweza kufuatia kwa mtiririko halafu tutasahihishana tafsiri.
Tujaribu utamaduni wa hivi wapendwa wasomaji na washabiki mbalimbali humu kwa faida ya jamii yetu na lugha yetu.
====
Injili ya Zama za Ndoo ya Yesu, Kristu wa zama za Samaki,
Ilivyonakilishika na Levi H. Dowling,
kuletwa mbele kama huduma ya Mjumbe Asiyetaka Kujifunga.
Injili ya Zama za Ndoo ya Yesu ina utetemianizi imara na mafundisho ya Mjumbe Asiyetaka Kujifunga imbayo inaletwa hapa mbele kwa wale walio tayari kupokea ujumbe wake.
Wanazuoni wengi wanatambua ya kwamba Agano Jipya tulilonalo leo ni nakala ya nakala ya nakala na kwamba hakuna hati andishi ya msingi yenye kuaminika yenye kupewa tarehe kabla ya karne ya tatu. Mafundisho ya Utwaaji Upya Mwili ni mwangwi kote katika mafundisho ya Kristu, ila usafi mweupe wa mafundisho ya Kristu, kuhusu Sonafi kuwa ni sehemu ya Mungu, umepozwa makali na wananikili na wafasiri.
Historia inakumbukumbu la kwamba Kanisa la Mwanzoni la Ukristu lilisadiki katika Utwaaji Upya mwili na Safari ya Sonafi kurudi kwenye uhali moja na Mungu.
Papa Atiwa Nguvuni kwa kusadiki katika Utwaaji Upya Mwili
Papa Vigilius alikuwa Vika kipindi cha utawala wa Miliki ya Justian katika karne ya Sita BK. Justian na Vigiulius hawakuwa na maelewano katika kukubaliana ikiwa mafundisho ya utwaaji upya mwili ungelitupiliwa nje kama uzushi ama kuruhusiwa kufundishwa kanisani. Asili ya maandishi ulichukuliwa ni uzushi na makadinali muhimu katika karne ya sita. Mafundisho ya Origen yamekuwa yakichukuliwa ni yenye hekima chenye kina sana cha kiroho kwa karne tatu. Yeye alifundisha kwamba chanzo hasa cha sonafi ni Mungu na kwamba sonafi ilikuwa ikisafiri kurudi kwa uhali moja wake na Mungu kupitia utwaaji upya wa mwili.
Mtawala Justian alitaka maandiko na mafundisho ya Origen yatupiliwe mbali na kuharibiwa lakini Papa Vigilius alikataa kutia saini agizo la kutupilia mbali mafundisho ya Origen juu ya Utwwaji Upya wa mwili. Kama matokeo ya kukataa kwake kutii, Mtawala alimtia nguvuni Papa na kumweka kifungoni. Mnamo 543, aliita pamoja baraza la kuu la tano la kanisa na kumwambia Papa atalisaini chochote kuwa mafundisho ambacho baraza litaamua. Ikiwa njiani kwenda kule, chini ya ulinzi, Papa alitoroka kujiepusha kulazimishwa kwa nguvu kutupilia mbali maadniko ya Origen. Mtawala aliliamuru baraza kuendelea hata kama Papa amekataa kuhudhuria. Kuna sababu za kimaantiki kwa nini Mtawala alikuwa akipingana na dhana ya namna mtu yote kwa asili ilikuja toka kwa Mungu na itajakuwa kurudi kwa Mungu kupitia mzunguruko wa kuzaliwa na mauti.
Justian alikuwa ameshawishiwa kimawazo na Makadinali wa nyazfa za juu ya kwamba si lenye mapenzi na tawala kwa kuruhusu mafundisho ya Origen kuendelea kudurufiwa na kusambazwa. Kundi lenye nguvu sana la Makadinali na Maaskofu walielezea ya kwamba ikiwa kila sonafi kwa awali ilikuwa na Mungu, basi Kristu hakuwa chochote maalum cha kuwa nacho kutoka kwa Mungu. Makadinali hawa walimshawishi kimawazo Mtawala ya kwamba ikiwa watu watalitambua wao ni wana wa Mungu wao wangeliweza kuanza kuamini kwamba hawamuhitaji tena Mtawala, ama kulipa ushuru, ama kulitii kanisa takatifu. Lakini tangia kwamba ni Kristu pekee amekuja kutoka kwa Mungu lakini Mungu alifanyiza Sonafi mpya katika wakati wa Utungiko na ni Kanisa Takatifu pekee lingaliweza kuzileta sonafi kwa Mungu. Pasipo ulinzi wa Miliki au ungozeaji njia wa Kanisa, watu wote wangalikuwa wamekwama na kukatiwa mbali na Mungu kwenye mabaya wasijue pakutokea milele. Fundisho hili lilikuwa la kukubalika sana kwa Mtawala. Mara tu Justian alipoielewa hatari iliyojifichia katika mafundisho ya Origen, kilichobaki ni Mtawala kutenda kile ilicho bora na mapendeleo yake.
Baraza, kama lilivyoelekezwa na Mtawala, lilitengeneza anathema kumi na nne mpya na ya kwanza kabisa ilitupilia mbali utwaji upya mwili na dhana ya uwepo awali wa sonafi na Mungu.
Ikiwa yeyote aukiri wazi wazi ule wakusema ni utangulizi wa kabla wa kuwepo kwa sonafi , na kukiri kusemea kule kurudia hali kwake upya kutoka ule: Yeye na awe anathema.
Papa hakutia sahihi agizo kamwe, kwa hiyo kwa kiufundi hilo halikuwa halali kisheria, lakini saini ya papa haikuwa ikihitajika. Tazama pia
Christian Reincarnation: The Long Forgotten Doctrine. Angalizo: Injili ya Zama za Ndoo ya Yesu inaendana usahihi wake na
The Lost Years of Jesus: The Life of Saint Issa. Tazama pia
The Essenes.