Rehearsal

Rehearsal

Yanarusha maji mazuri sana hapo ni kutembea na sabuni za kuogea tu. Halafu tuwakumbushe hivii, kwa sababu yamenunuliwa na kodi zetu basi yakitughasi tutayachoma wenyewe.
 
Hahahahaaaaaaa siogi mpaka siku hiyo nioge maji ya ulaya hata mateja watafaidi mno
 
Yanarusha maji mazuri sana hapo ni kutembea na sabuni za kuogea tu. Halafu tuwakumbushe hivii, kwa sababu yamenunuliwa na kodi zetu basi yakitughasi tutayachoma wenyewe.

hahahahah. . . Dah jf sometimes raha sana.
 
Nguvu ya umma iko saut kubwa kuliko hata hicho ninachokiona.
 
Naenda kushona overall la nylon.......tuone nani mjanja...... .
 
Back
Top Bottom