Kuubafu senu!! yaaani ni kodi setu!!!??? Nyakarumekenge marudenja matumbako meusi!!!
Hahahahaaaaaaa
Usicheke mkuu Mshana Jr. hawa ccm waliona miaka mitano ni mingi sana, wakatumia miaka hiyo mitano kupiga dili! Kuja kushtuka uchaguzi huu hapa na hawajafanya kitu!
Sasa wananchi hawawataki wanajaribu kubaka demokrasia!
Nenda hospitali! Chanjo za watoto wachanga hamna ila hela za kuwahonga wasanii na mambo ya kipuuzi
I hate ccm! Naichukia sana! Waongo to the maximum やはりはな ccm!!!!