Regnald Mengi unalijua hili?

nkungu mwere

JF-Expert Member
Sep 6, 2018
258
336
Asalaam alaykum,kuna taasisi inajitangaza kutoa mikopo ya FOCUS VICOBA inatumia jina lako,je mheshimiwa unaitambua?na nikweli ipo,kama ipo basi ebu funguka na kama haipo pia funguka coz kwa heshima yako sio vema ukatumika bila wewe kujua,pia ajuaye chochote kuhusu hii taasisi tujuzane
 
Shida ni jina au ni Pesa?
 
Back
Top Bottom