angelstars
Member
- Jul 31, 2018
- 11
- 2
Food sciencekUnataka kusoma nn
Kwa njia ya simu???Hakuna namba ya kampun. Kuna reference namba tu ...unatuma kwenda CRDB. Reference namba ina simama kama account namba
YeahKwa njia ya simu???
MPESAKwa njia ya simu???
Ndiyo wamenipa reference no,,,na ukilipia kwa njia ya m-pesa,kabla ya kuweka hiyo reference no si wanakwambia uweke kwanza no ya kampuni??? [emoji53]Kwa kumbukumbu nilizo nazo ni kwamba ukilog in kama huja lipia system yao ina kupa taarifa namna ya kulipa na inakuonesha Reference namba ya kulipia.
Labda kama sijaelewa ulicho uliza mkuu.
Nimekuelewa mkuuHakuna namba ya kampun. Kuna reference namba tu ...unatuma kwenda CRDB. Reference namba ina simama kama account namba
Asante mkuuMPESA
unachagua option ya kutuma bank...CRDB
Huwezi ku apply kabla ya kuwa registeredApplication. Sio Reg....!!!