ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,967
Ikitokea siku Mchagga akawa Rais wa Tanzania nami nipo hai, ndiyo siku ntaukana uraia wa Tanzania.
Haki ya kugombea Urais alikwisha ipoteza kwa kukwepa kulipa kodi. Tutakuwaje na Rais mkwepa kodi; tutakuwaje na Rais ana-tweet tweets zinazoonyesha kutokukomaa, tutakuwaje na Rais ambaye ameshindwa kuwaondolea wafanyakazi wake umasikini, tutakuwaje na Rais mwenye tabia ya kutoa ahadi za mamilioni ya fedha pale anapokuwa mgeni rasmi kwenye hafla bila kuzitekeleza - tapeli?
hivi ww ndugu unamwanini mungu kweli? unauhakika mengi huahatoi pesa anazo ahidi? wafanyakazi wa ipp ndo wanaoongoza kwa kupewa kila aina ya motivations unataka awondoleaje umackini? think big ndugu sio kuandika uharo na mambo ya kubuma buma hapa jukwaani, we unadhani uwezo wako wa kufikiri ni sawa na wana jf wengine? stu.pid
Mengi tayari ni Rais wa CTI. Unamaanisha atatetea kiti chake?Taarifa zisizo rasmi zinadai ya kuwa mwenyekiti wa IPP Dkt. Reginald Mengi ana mpango wa kugombea uraisi mwaka huu wa uchaguzi 2015.
Japo haijfahamika wazi kuwa atagombea kupitia chama gani au mgombea binafsi.
Katika kipindi cha hivi karibuni Mengi amekuwa akionekana kuwa mwiba kwa serikali kupitia maneno yake zikiwemo tweets na kupitia vyombo vyake vya habari huku akisisitiza uzalendo na uwajibikaji.
BY: SUPU YA MAWE
Huyu wa Kaskazini lazima apitie tikiti ya Chadema
Huyu wa Kaskazini lazima apitie tikiti ya Chadema
Huyu mengi na urais wapi?
Huo ndio ujinga wa watanzania na hii itawakosti sana kwani bado hamjajua kumchagua mchapa kazi na bado mnavutiwa na mafisadi na kuwaacha wachapazi wakijifia wenyewe huku nyie mkiendelea kuzama kwenye tope!! Kweli ujinga ni ujinga tuuuuu!
Tatizo kubwa la viongozi wa Taifa hili ni kwamba hawana uzoefu na masuala ya kiuchumi kwa vitendo. Wao wamekulia kwenye majukwaa ya kisiasa na hawawezi kuongoza uchumi wa taifa kwani hawana uzoefu hata wa kumiliki biashara ya kiosk.
Viongozi wa Tanzania hawajui nini maana ya uchumi, jasho la kutafuta hela na ndio maana wanatumia fedha za wananchi hovyo bila huruma yoyote kwani hawajui zimepatikana kwa jasho kiasi gani.
Nasema kama zilivyo nchi zilizoendelea ambapo viongozi wao ni watu wenye uzoefu wa masuala ya uchumi, na matajiri mfano Marekani, China, Italia, Russia, etc, nchi haitaendelea mpaka tumpate rais mwenye uelewa na uzoefu mkubwa wa kiuchumi na ambaye yeye mwenyewe amefanikiwa kivitendo katika uchumi.
Hadi mpaka wakati huo tuendelee kuwachagua wapiga debe wanaoimba KILIMO KWANZA lakini hawajui kilimo ni kitu gani haswa!

Hii ingekuwa ni physical forum na tunafahamiana ningekupeleka mahakamani kwa defamation. Hali ilikuwaje wakati Rehema Mwakangale (RIP) alipofariki? Nina ushahidi kuhusu kutimiza ahadi zake. Jaribu kuangalia annual reports za ngos anazozihaidi kama utakuta Mengi au IPP media kwenye audited reports - nyingi ziko online. Ma - PR wengi ni waandishi wa habari na wamefanya kazi kwa Mengi na wanapohamia kwenye ofisi nyingine wanasema ndugu! Pia ni wazuri sana kwa vibahasha! Kwa nini wanamwibia sana bwana Mengi mpaka uwa anatishia kufunga biashara ya vyombo vya habari?
Halafu hizo motivations wanazopata wafanyakazi wa Mengi ambazo zinazidi wafanyakazi wengine wote Tanzania ni zipi na ni kiasi gani? Au ndio zile za party ya mwaka mpya inayoandaliwa na akina Joyce Mhavile na kuziweka kwenye television?
Kwa kawaida mwenye uwezo mdogo wa kufikiri anafikiri yeye ana-think big, anatoa matusi, hatoi mifano, wala haombi mifano ili kuona kama kuna ukweli au vipi. Kwa kifupi mimi simwamini mungu bali namwamini Mungu (herufi ya kwanza ni capital).
Nakutakia kila kheri katika maisha yako hapa duniani kwani sina namna ya kukubalisha jinsi ulivyo mpaka hapo utakapopata usingizi wa amani!!!!
Kafisadi vitaru vya madini,kafisadi watumishi wake,kafisadi DTV,kafisadi wasichana wadogo,anafanya biashara haramu,mkwepa kodi,alitaka kufisadi vitaru vya gesi na mengine mengi tu.
Kafisadi vitaru vya madini,kafisadi watumishi wake,kafisadi DTV,kafisadi wasichana wadogo,anafanya biashara haramu,mkwepa kodi,alitaka kufisadi vitaru vya gesi na mengine mengi tu.
Hahahaha kura za ccm haziwezi kupunguzika kwa Mengi kwani wanaoipa kula CCm wengi ni wale wasioikubali Chadema kwa kuona ni kama chama cha wachaga.
Agombee kama mgombea huru ili akapunguze kura za wachaga wenzie wa chadema... atakua kaisaidia sana ccm kushinda kiulainiiiiii.
Wewe unfanyia kazi za juu juu na hauzifanyii conclusion! Hizi ulizoweka hapa ni za aina gani?Mkuu mi naona kama unapenda taarifa za chinichini na unazifanyia conclusion vile unavyoona inafaa. Hater na gossip mongers wapo kila sehemu mkuu. It's obvious Migogoro na wizi katika maeneo ya kazi yaPO kila mahala hata kwenye mtaa unaoishi. Mengi hayuko pale kugawa pesa Bali kufanya biashara. Nina uhakika kuwa kama mambo yake ni mabaya asingejijengea heshima aliyonayo. Pesa sio kila kitu.
Mikataba ndio kitu kinawafunga watu kwenye ajira. Unapokuja na hoja kuwa eti halipi kodi ama hawalipi wafanyakazi wake vizuri. Kama kulipa kodi ingekuwa ni maendeleo nadhani tanzania tusingekuwa na hao wakwepa kodi. Exemption za nini? Jaribu kujiuliza ni Rais gani nchini alishinda uchaguzi kwa kuwa ni mwadilifu kuliko mengi kwa vigezo ulivyotaja na jaribu kuweka asilimia UA jao marais kama inazidi nusu?
Kisha jiulize je uadilifu wa mtu ndio kigezo cha MTU kushinda urais?
Binafsi nina amini mengi kama mengi hafai kazi ya urais hata yeye aliwahi kukataa alipoulizwa kama anaitaka urais. Binafsi Naamini hafai kwa sababu nyingine za kijamii zaidi lakini sio hizo za kwako za kukwepa kodi. In fact sijui ni kiongozi gani wa CCM anayelipa kodi kihalali kwenye biashara yake hapa nchini mpaka sasa.you tell me?
Maoni yako nayachukulia kama maoni ya MTU anayetengeneza hoja za Kumchafua bwana mengi.
Kwa hofu zisizo na ukweli.
Na hii ni dalili kuwa hapa unawananga hata hao Takukuru kwa kushindwa kuonyesha ufanisi dhidi ya bwana Mengi.
Kumbuka mengi is just a businesman, sio waziri, mbunge wala rais.
Kuna kitu wanaita public relations. (PR). Hiki ki afanyika kimalengo kama sehemu ya promotion. Kutoa msaada sio kwamba unahela ya kuchezea na kuwapa wafanyakazi wako bali inaweza kuwa njia ya kujijengea heshima kupitia biashara katika jamii.
Nakishauri uwe unaangalia na uhalisia wa mada kabla hujatamka kauli zako. Ambazo unazitoa very sensitive. As if we are dealing with real situation.
Someni kwanza hapa.Taarifa zisizo rasmi zinadai ya kuwa mwenyekiti wa IPP Dkt. Reginald Mengi ana mpango wa kugombea uraisi mwaka huu wa uchaguzi 2015.
Japo haijfahamika wazi kuwa atagombea kupitia chama gani au mgombea binafsi.
Katika kipindi cha hivi karibuni Mengi amekuwa akionekana kuwa mwiba kwa serikali kupitia maneno yake zikiwemo tweets na kupitia vyombo vyake vya habari huku akisisitiza uzalendo na uwajibikaji.
BY: SUPU YA MAWE
Wewe unfanyia kazi za juu juu na hauzifanyii conclusion! Hizi ulizoweka hapa ni za aina gani?
Someni kwanza hapa.
View attachment 217432