Reginald Mengi ajitoa rasmi kwa Lowassa

Status
Not open for further replies.
Huyo ni kama mwanafunzi anayejifunza kuandika,kila sehemu atakayoiona ataandika tuu hata kama hapastahili kuandikwa,yaani huu ni ushamba wa kitambo sana unapost post tuu hata upuuzi
Naamini kama unapiga kampeni lazima uwe mwangalifu ili ujenge hoja za nguvu. Inasikitisha sana hata kuedit (kuhariri) maandiko yetu siku hizi hatufanyi, najiuliza hizi haraka za nini?

Ingawa sijawahi kuwa askari na sitakuwa kama Makongoro, naamini ukitumia bunduki vibaya ukalenga opposite side kwa adui yako, jua risasi itakayopigwa itakupasua ubongo. Niwaombe wanaoendesha kampeni humu ndani wajitahidi kujenga hoja isije ikawa kama jamaa aliyesema kama L... hatamtaja nitamtaja. Uliona L... alivyotumia hiyo nafasi adimu?
 
We binti kaolewe na lumumba tu acha kuropoka hv huoni kama unajidhalilisha utu wako miaka 50 sema una nn cha kujivunia unatumika kama tambala la deki humu ndani wamo wenye akili timamu siyo kama ww jiangalie sana MAGUFULI Vs JIWE watu wanachahua JIWE kuliko bwana zako wa lumumba.
 

weka chanzo cha habari yako hapa, la sivyo ni uzushi na cyber crime law inakuhusu moja kwa moja .
 
wakati anakunongoneza haya mambo mlikuwa hoteli gani na chumbani namba ngapi bbie

Maneno kama haya hayawezi kuwa ya mtu muungwana, mwenye heshima na aliyepata malezi mazuri. Kama huna uwezo wa kujibu hoja nyamaza. Matusi ni dalili ya ujinga
 
Huyu naye ni wale wale angalia kaanza lini. Naamini kuanzia tarehe 25.10.2015 hatutamwona JF

Join Date : 25th August 2015
Posts : 33
Rep Power : 309
Likes Received12
Likes Given0

Tatizo kitengo cha it masaki cha mwezi wa kwanza kina watu ambao ni wageni wa mitandao ndio tatizo hilo ccm huu ndio mwisho wenu rais ni lowasa
 
Hayo Ni maoni ya mzee mengi Ni hali yake sio kwamba akiongea lazima itimie yeye Ni mmoja miongoni mwa mamilioni ya watz wanaotaka mabadiliko.
aunty Ezekiel,ray na juma nature ni njaa inawahangaisha

Una uhakika gani kuwa hayo ni maoni ya mzee Mengi
 

We jambazi wewe.
Kama Ukawa mmemnunulia Mbatia airtime saa 4 usiku..hii ya saa 12 mbona iko poa??
Au ulitaka saa 12 watangazwe magamba?
 
Hivi kuna watu ambao msanii akihama anahama nao?
 
Huyu naye ni wale wale angalia kaanza lini. Naamini kuanzia tarehe 25.10.2015 hatutamwona JF

Join Date : 25th August 2015
Posts : 33
Rep Power : 309
Likes Received12
Likes Given0

Hawa ndiyo wale vijana wa kitengo cha IT-masaki chini ya JM.
 
Mengi anaondoka na nguzo yote ya kaskazini...

Mengi ana kura moja tu, hana impact katika mawazo ya watz wanaotaka mabadiliko.Mwaka huu maccm mtakuja na kila aina ya viroja ili kujipunguzia maumivu.Lowasa ndiye rais wenu
 
sijaona mjinga kama wewe dunia hii.
unajua mnakufa ila unabisha tu.
kufeni huko.
 

Tulia dawa ikuingie acha kuweweseka, mwaka huu ni Lowasa tu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…