Huu uhuni wakujadili watu usiendekezwe hapa JF. hiyo habari ya regina haina tija, manufaa wala faida kwa wana JF na watanzania kwa ujumla. Naomba tujadili yaliyombele yetu, Uchaguzi na post-election stuff. Ni vipi tutaathiriwa na matokeo haya, labda baraza litakuwaje, tutajipangaje for 2015 ili kuleta mabailiko zaidi...na vitu vya aina hiyo. Ingekuwa na issue, yenye kugusa jamii (hata kama ingemhusu nani), tungeijengea hoja, but that one is boring brother..SORRY
Wakati kwa upande fulani upo sahihi, naona kama pia mleta thread yupo sawa, akina Reg si ndo maselebu wenyewe wa bongo na hapa ndo pahala pake au!