Regina Mwalekwa

Mchaga

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,378
202
Huyu dada bado yupo Radio One? napenda sana aina yake ya utangazaji...
 
Anajifanyaga sista-duuu kumbe umri umeshaenda mwambieni akue

Hii issue ya kujikanyaga kwa wadada ni common, wakiulizwa umri hupunguza takriban mitano ili waoneshe wana umri mdogo. Sijui kuwa na umri mdogo kuna deal gan?
 
Wanajishtukia akili zao hazijakuwa kama umri ulivyokwenda. Tabia ya kuchakachua iko kila mahali
 
Tunaongelea uchaguzi sasa hivi broda...Mambo ya Regina au Reginald ni mbele ya safari!
 
Wanajishtukia akili zao hazijakuwa kama umri ulivyokwenda. Tabia ya kuchakachua iko kila mahali
Kwani hujawahi ona lijimama linaongozana na kabwana mdogo? ukifanikiwa kumhoji utacheka tu, hutaja miaka 21 zau pungufu. Yawezekana mayanki hupenda "vinavyo bana" kwani vina raha yake.
 
Huu uhuni wakujadili watu usiendekezwe hapa JF. hiyo habari ya regina haina tija, manufaa wala faida kwa wana JF na watanzania kwa ujumla. Naomba tujadili yaliyombele yetu, Uchaguzi na post-election stuff. Ni vipi tutaathiriwa na matokeo haya, labda baraza litakuwaje, tutajipangaje for 2015 ili kuleta mabailiko zaidi...na vitu vya aina hiyo. Ingekuwa na issue, yenye kugusa jamii (hata kama ingemhusu nani), tungeijengea hoja, but that one is boring brother..SORRY
 
Wakati kwa upande fulani upo sahihi, naona kama pia mleta thread yupo sawa, akina Reg si ndo maselebu wenyewe wa bongo na hapa ndo pahala pake au!
 
Hawa wametumwa na kinana kutuletea upupu hapa ili tusiikabili sisiemu inavyompa kikwete matokeo ya slaa
 
Lile tangazo lake la maleria haikubaliki mbona ghafla limekuwa replaced na la stara tomas?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom