Regina Lowassa on ITV, sikiliza mahojiano

Regina Lowassa on ITV, sikiliza mahojiano

Huyo ndie yule aliyempiga mic ya kichwa mtu baada ya kushikwa ta.o!
 
Huyo ndie yule aliyempiga mic ya kichwa mtu baada ya kushikwa ta.o!

Hivi yale mazingira ya ile video ni maeneo ya namna gani manake Regina alikuwa anaongea :beer::beer::beer: tuu
 
Wanabodi,

Sasa hivi Regina Lowassa anahojiwa na ITV. Sikiliza na jadili.

TV iko seating room ninge-update
12038093_528849780603880_4421614170556598052_n.jpg
 
Kwani mkuu C.T.U kulikua na haja gani ya kutuchanganyia ID humu? au ndio kupagawa na mabadiliko?
VIVA UKAWA!!!!

sijachanganya ID ni kuwa huyo BALOTEL alikuwa ananijibu mie ila sasa akawa hawezi kujibu post yangu direct ndio akaandika hayo nahisi hata kina Invisible wanalijua hili sawa bwana Chritsmas
 
Last edited by a moderator:
simwelewi
nimebadilisha channel naangalia cartoon network its kinda more important to me now
Wewe mwenyewe unajielewa kwan

Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo ndomana umeweka katooni,,jina lenyewe.balotel unategemea utakuwa mzima kichwan mwako
 
mama yuko vizuri kwa kweli ila huyu bonge nyanga sijui itv wametoa wapi anauliza maswali kama kuna kitu kinaingia kwenye papuchi hajiamini utadhani yeye ndio anaulizwa

Lazima aogope kidogo alikuwa anaongea na first lady lazima awe makini pia alikuwa emotional sana coz yeye pia ni.mama yale matatizo yanamgusa coz ni mwanamke pia,,regina lowasa kaongea sensitive sana na kwa akili kubwa
 
Wanabodi,

Sasa hivi Regina Lowassa anahojiwa na ITV. Sikiliza na jadili.

TV iko seating room ninge-update

huyu mama anagmbea nafasi gani au ndo monarchy systeam ya chadema mtoto wa mtei,mke wambowe,mke wasilaa,mtoto wandesapesa,mke wa lema,mke wamrema n.k na kadlika hihi hatari huyu mama na uso wake ulivyokuwa mwembamba ka lusu hana hata haya eti naye anatoa ahadi nmemtazama nkacheka kweli mana ukawa duh hatari hii ndo yaleyale yakampeni meneja wamgombea urais bwna sumaye hanakadi wala hajulikana chama gani naye anasema tukiingia madarakani tutafnya hv +gwajima+kingunge=upigaji kama kawa(,ukawa)
 
simwelewi
nimebadilisha channel naangalia cartoon network its kinda more important to me now
Wewe mwenyewe unajielewa kwan

Kichwa maji hicho hilo jina lako linaongea mi najua baloteli ni footballer
 
Back
Top Bottom