Regina Lowassa on ITV, sikiliza mahojiano

Regina Lowassa on ITV, sikiliza mahojiano

swali-wanawake wanahitaji serikali ya namna gani?
JIBU-MAMA REGINA LOWASSA-Wanawake wanahitaji kiongozi anayewasikiliza watu wake, kiongozi anayeweza kuwapigania muda wowote. Wamama wanahitaji serikali inayowajali-Mama antilie wananyanyasika, wanapigwa mateke na vyombo vyao vyote vinachukuliwa, na polisi wa jiji, mama anapata hasara kwa kila kitu
 
Mwaka wa rais ws tz kupewa ushauri wa kuongoza nchi na mkewe waja
 
anaongea kwa ushawishi saana.

ni best advisor kwa mtu anayetakiwa kuongoza taifa
 
simwelewi
nimebadilisha channel naangalia cartoon network its kinda more important to me now
Wewe mwenyewe unajielewa kwan

Utamuelewaje na huna akili ndo mana kipao mbele ni elimu elimu nenda shuleee
 
Kimeisha? Dstv ni chanel number ngapi? na azam yupo chanel number ngapi?
 
wanawake ni jeshi kubwa ,mama lowassa anawakilisha wanawake wapenda amani na maendeleo .namuunga mkono katika swala hili ya kuwaunganisha na kuwakumbusha wanawake matatizo wanayopitia ni kutokana na mifumo mibovu ya utawala wa ccm kwa miaka 54. eeh mwenyezi Mungu tujalie kuondokana na matatizo ya afya za uzazi,kero za maji na maisha magumu .
 
We mwenyewe kichwani empty kabisaa wala huwezi kujitokeza kuongea kama 1st lady wetu mfyuuuu wewe USSR
 
Mwaka wa rais ws tz kupewa ushauri wa kuongoza nchi na mkewe waja

Wewe Mburula kabisa.
Acha kuwadharau wanawake. Ndio mama zetu hao.
Bila ushauri wa Mama yako kwa Baba yako yawezekana usingepata Malezi uliyo nayo.

Type yenu ndo mumezoea kuwadhalilisha wake zenu. Bure kabisa.
 
Huyu mama amekuwa mfano wa kuigwa, sijui inatakiwa mtu ufanye nini kuweza kupata mke kama huyu, hakika formula aliyotumia Lowasa inaafa kuwekwa wazi ili vijana tuitumie tusije kuangukia kwa kina Mange Kimambi,wema na kina ant ezekiel........
 
mama yuko vizuri kwa kweli ila huyu bonge nyanga sijui itv wametoa wapi anauliza maswali kama kuna kitu kinaingia kwenye papuchi hajiamini utadhani yeye ndio anaulizwa
 
Back
Top Bottom