Regina Lowassa on ITV, sikiliza mahojiano

Regina Lowassa on ITV, sikiliza mahojiano

mama yuko vizuri kwa kweli ila huyu bonge nyanga sijui itv wametoa wapi anauliza maswali kama kuna kitu kinaingia kwenye papuchi hajiamini utadhani yeye ndio anaulizwa
bavicha bhana kwa matusi
 
Uko sahihi mkuu, ila sidhani kama anamzdi yule aliyekula za kiwira, na meremeta, lakini kuna huyu wa escrow , na za meno ya tembo huyu ni funga kazi.... Ila serikali ni dhaifu kweli... Mtu kala za richmond hawajamfunga tu.....na kahama na chama wanamuangalia tu ......
kala vizuri sana pesa ya rich mond!! Sasa sijui zimepunguaa?
 
Tanzania ina Mikoa 31.Tumechoka kuona sura za sehemu moja tu ya nchi.Tunataka sura za Kitaifa.

Na huyu Mengi ni wa huko anawabeba hawa nduguze tena toka anyimwe Vitalu vya gesi ndo basi tena
 
Tunamsema mama, wewe darasa ulikuwa unashika number ngapi? Maana hujielewi, mimi namsema mama wewe unasema meno ya tembo, sasa meno ya tembo yapo ITV leo?
 
Mama regina lowassa-geita; anasema kwanini tukose barabara hapa na tuko na madini yotee.. Kwanini hamsomewi mapato na matumizi.. Kwanini hatuulizi pesa zinakwenda wapi?? Siku zoote wanapita hapa kwanini hatuwaulizi kwanini hatuna barabara nzuri
 
swali-wanawake wanahitaji serikali ya namna gani?
JIBU-MAMA REGINA LOWASSA-Wanawake wanahitaji kiongozi anayewasikiliza watu wake, kiongozi anayeweza kuwapigania muda wowote. Wamama wanahitaji serikali inayowajali-Mama antilie wananyanyasika, wanapigwa mateke na vyombo vyao vyote vinachukuliwa, na polisi wa jiji, mama anapata hasara kwa kila kitu
 
simwelewi
nimebadilisha channel naangalia cartoon network its kinda more important to me now
Wewe mwenyewe unajielewa kwan

Kwani mkuu C.T.U kulikua na haja gani ya kutuchanganyia ID humu? au ndio kupagawa na mabadiliko?
VIVA UKAWA!!!!
 
Last edited by a moderator:
Aisee umetingishika mpaka dawa imemwagika, unatakiwa utulie dawa ikiwa inaingizwa mwilini kwako... kutingishika huku kutakufanya usipone ugonjwa ulionao....Pole sana...Kama amekula za Richmond Serikali yako ilimfanya nini, kwanini haikumchukulia hatua kama zilikuwa si halali kuliwa.??..i??

.....
Tunamsema mama, wewe darasa ulikuwa unashika number ngapi? Maana hujielewi, mimi namsema mama wewe unasema meno ya tembo, sasa meno ya tembo yapo ITV leo?
 
Tena wewe unaonekana ni mpiga dili, nakumbuka ulizunguka nchi nzima kumponda lowasa, kumwita fisadi, leo unaniambia niende mahakamani, haingii akilini fisadi agombee urais!!
 
Huyo mama anafuga mafisadi katika nyumba yake hii ni aibu kwa kina mama wa kitanzania.
 
Nataka kuona kipindi maalum cha Mama Lowassa akishikwa t.ko na yule mkawa viroba
 
Back
Top Bottom