"Regia Mtema"

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
7,979
13,631
Dada Regia Mtema,tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu october 2010, ambao baada ya wewe kuchakachuliwa na kumwingiza bungeni yule (zuzu) mteketa, hujaonekani tena, kisiasa zaidi. Nadhani unakumbuka jinsi ulivyo sambaratisha ngome za CCM kwa muda mfupi, nataka kukuhakikishia 85% ya watu hapa wamebadilika na ni CHADEMA pure ingawa hawana kadi.

Kwa kung'oa CCM masalia napendekeza andaa kama mikutano 5 ya nguvu. Tuletee na makamanda wa3, mzee wa 'mzuka' Godbless Lema, John Mnyika na mzee wa anga Freeman mbowe.

Ukichanganya na ukali wa maisha, mfumko wa bei + kuichukia CCM, mtakuwa na kazi rahisi kama kumumunya "udongo" .

Nawasilisha
 
Umesahau kuwa baada ya uchaguzi alikuwepo kwenye crew ya Maandamano ya nchi nzima, na alikuwa akipandisha mathread kila siku hapa?

Kazi aliyoifanya baada ya uchaguzi ni kubwa zaidi ya ile ya jimboni, na anapaswa kupewa credits zake...nyingi tu!
Kwa sasa, na kwa mujibu wa maongezi na yeye, yuko tight sana kwenye kamati yake ya Bunge ya Miundombinu.

By ze Way, ushauri uliompa ni excellent!...naamini kwa umakini alio nao ataufanyia kazi mara moja!
 
Wanavuta pumzi maana wameishika pabaya CCM na wakiibuka kutawaka moto waacheni wajipange .
 
Mikutano na mikusanyiko imepigwa na serekali marufuku kwa sababu ya tishio la kigaidi la Al-Shabaab.
 
Mikutano na mikusanyiko imepigwa na serekali marufuku kwa sababu ya tishio la kigaidi la Al-Shabaab.

mbona mechi ya Yanga na simba tulikusanyika. Mbona kariakoo makusanyiko ya watu ni wengi. Intelijensia inanasa cdm tu siyo?
 
Dada Regia Mtema,tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu october 2010, ambao baada ya wewe kuchakachuliwa na kumwingiza bungeni yule(zuzu) mteketa, hujaonekani tena,kisiasa zaidi..nadhani unakumbuka jinsi ulivyo sambaratisha ngome za ccm kwa muda mfupi, nataka kukuhakikishia 85% ya watu hapa wamebadilika na ni CHADEMA pure ingawa hawana kadi. Kwa kung'oa ccm masalia napendekeza andaa kama mikutano 5 ya nguvu. Tuletee na makamanda wa3, mzee wa 'mzuka' Godbless Lema, John Mnyika na mzee wa anga Freeman mbowe. Ukichanganya na ukali wa maisha,mfumko wa bei + kuichukia ccm, mtakuwa na kazi rahisi kama kumumunya "ubongo" nawakilisha
haaa.. nimependaje jinnsi ulivyo andika hili bandiko lako..
 
Watu tusiwe wepesi kusahau na mengine mengi mazuri Makamanda wa CDM wanachofanya,Nawahakikisha ya kwamba hawa magamba kuwasambaratisha kama tunavyokusudia siyo rahisi kihivyo kwani ndg zetu wengi wameshindwa kujua alama ya nyakati,sasa kama Regia Mtema amekuwa nguzo karibu ktk kila kaya anayofikia Tanzania hii! Kwa hiyo tuwe na kumbukumbu ya kwamba pale kwake anapakumbuka kushinda tumjuavyo.
 
Wananchi wanataka MANENO yanayoweka chakula mezani sio kuchekacheka tu!!

Chakula mezani????

avatar4892_1.gif
 
Back
Top Bottom