Regia Mtema kuwakutanisha JK na Dr Slaa uso kwa uso leo

Gurti

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
211
59
Wakuu,
Kwa kuwa jana Waziri mkuu Pinda alisema kuwa Rais atashirikiana na Chadema kumwaga Mpambanaji Regia Mtema huko ifakara na,
kwa kuwa Dr Slaa naye ameshakwenda Ifakara kwa ajili ya kazi hiyo.

Je, si ndio itakuwa siku ya kwanza kwa JK na Dr Slaa kukutana uso kwa uso? Au mmoja atamkwepa mwenzake?
Nini impact ya tukio hilo kwa JK /Dr Slaa (kama itatokea?)
Nawasilisha.
 
nasubiri kwa hamu...picha...na kujua nani atakua wa kwanza kuhutubia..mwenyekiti wa cdm au rais wa nchi
 
wala hakuna kubwa zaidi ya mwenyekiti wao kuja na magari lukuki ya walipa kodi kumzika mwanamapinduzi kijana aliyetetea wanyonge wanaonyanyaswa katika nchi yao usiku na mchana.
 
Hivi ni kweli watu hawa wawili (Dr JK na Dr WS) wamekuwa wakikwepana? Kwa nini wakwepane?

Isije ikawa ni usanii wa wanasiasa tu kutuonesha kukwepana au hata 'kugombana' wakiwa kwenye hadhara lakini kibinafsi ni marafiki wa kupigiana simu kila siku kujuliana hali!
 
Wakuu,

Kwa kuwa jana Waziri mkuu Pinda alisema kuwa Rais atashirikiana na Chadema kumwaga Mpambanaji Regia Mtema huko ifakara na,
kwa kuwa Dr Slaa naye ameshakwenda Ifakara kwa ajili ya kazi hiyo.

Je, si ndio itakuwa siku ya kwanza kwa JK na Dr Slaa kukutana uso kwa uso? Au mmoja atamkwepa mwenzake?
Nini impact ya tukio hilo kwa JK /Dr Slaa (kama itatokea?)

Nawasilisha.

mimi sioni jipya mambo kawaida tu.
 
Matatizo sometimes yanawapatanisha mahasimu wanaopambana. Hofu yangu ni kwa Jk, maana tokea Sheikh Yahya achape lapa amebadilika sana.
 
Matatizo sometimes yanawapatanisha mahasimu wanaopambana. Hofu yangu ni kwa Jk, maana tokea Sheikh Yahya achape lapa amebadilika sana.
lazima awe na wasiwasi - idadi ya kura za urais ni gaza totoro hadi leo.
 
Hivi ni kweli watu hawa wawili (Dr JK na Dr WS) wamekuwa wakikwepana? Kwa nini wakwepane?

Isije ikawa ni usanii wa wanasiasa tu kutuonesha kukwepana au hata 'kugombana' wakiwa kwenye hadhara lakini kibinafsi ni marafiki wa kupigiana simu kila siku kujuliana hali!

Tangu baada ya uchaguzi wa uhakika hii itakuwa ni mara ya kwanza. Suala la simu sidhani, kwa nini wapigiane? Fisadi na mwadilifu wanaagenda gani?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Jamani hii kwangu mpya....Kweli hawa wanakwepana kiasi kwamba wakikutana msibani iwe issue?! Sijafikia kuamini kuwa tofauti za kiitikadi ni uhasama. Na tukifikia hapo mh....!
 
...uongo na ukweli au mwanga na giza!...no no no hapana bhana... hivi vitu havikai pamoja,unaweza kujaribu kuchanganya mafuta na maji kwa-kiasifulan unaweza ukafanikiwa kidogo,lakini bado kwa kisi-kikubwa mafuta hayatachanganyika na maji bali yataelea tu juu ya maji.Hiki ndo nataraji kitatokea leo pale Dr wa ukweli{SILAA} na dr wa kuchonga(k.i.k.w.e.t.e) watakapo kutana Moro...yaani ni kama jua{Silaa} kupatwa na mwezi(k.i.k.w.e.t.e)...
 
kikwete kumuogopa slaa...?kwa lipi hasa..? CDM walipokwenda ikulu slaa aliingia mitini nani kamkimbia mwezie.Kikwete au Slaa?
Kikwete alipokwenda kutoa pole msibani slaa aliingia mitini,nani anamuogopa mwezie,kikwete au slaa?
Kwanini slaa amkimbie Kikwete ni maneno yake ndo yanayomsumbua,kwamba hatamtambua kama rais na kwamba nchi haitatawalika.
CDM imemtambua kikwete kama rais,na nchi inatawalika tena vizuri.Kama mtu mzima lazima ajisikie aibu na amkimbie JK
 
Dr. Slaa kama mstaafu wa taasisi ya dini itabidi akubali matokeo na kushikana mkono na Rais
 
..... Suala la simu sidhani, kwa nini wapigiane? Fisadi na mwadilifu wanaagenda gani?
Nilikuwa najaribu kufikiria tu.....maana wanasiasa ni wafanya siasa tu! Si umesikia 'cheameni' wetu alikuwa magogoni kukutana na huyohuyo (t)unayemwita fisadi....lakini hayupo tayari 'kutuambia' walizungumza nini!?
 
Wakikutana baada ya mazishi atampa orodha mpya ya mafisadi wafike 13 kwenye list of shame!!
 
Back
Top Bottom