RIP Da Regia. Ulikuwa mtetezi wetu sisi Watanzania wanyonge bila kuangalia Dini, kabila, rangi wala Jimbo. Tulikupenda, tulikuamini, na tulikutegemea katika kufikisha kilio chetu kwa hao watawala, lakini Muumba amekupenda zaidi. Umetutangulia kwenda kwa hakimu wetu wa haki, tunaamini siku moja tutakukuta huko maana kwake yeye ndipo lilipo tumaini letu sote. Bwana alitoa na Bwana alitwaa Jina lake libarikiwe.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un (إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ😉