Kidukustyle
Member
- Oct 26, 2011
- 8
- 1
RIP dada Regia. Mwenyezi Mungu akupe nguvu dada Remija. Kazi yake haina makosa, yatupasa kumshukuru kwa yote. Bwana alitoa, bwana alitwaa Jina lake lihimidiwe. Amina.
Pole ndugu Kidukustyle, ni posti yako ya kwanza toka 2011, kweli umeguswa, may she Rest in peace.RIP dada Regia. Mwenyezi Mungu akupe nguvu dada Remija. Kazi yake haina makosa, yatupasa kumshukuru kwa yote. Bwana alitoa, bwana alitwaa Jina lake lihimidiwe. Amina.
alikuwa member na alitumia avatar na
jina lake la ukweli
tumempoteza mtu muhim sana
Kwanini kafa yeye peke yake kwenye ile ajali? Ina maana alilengwa tu yeye? Dah, najiuliza maswali mengi na napatwa hasira alichotufanya huyu dada. Any way siwezi mrudisha duniani lakini watu wenye potential kubwa wanapaswa kujifahamu na kujilinda sana, Tanzania nzima inawahitaji sana. Mafisadi hawafi, wanakufa watu muhimu. Hatuwezi kuafford kupoteza watu wengine muhimu kwa ajali kama hivi ilivyotokea kwa Reggia.
Nasikia na mfanyakazi wake nae amefariki?

Hivi Remija siyo mwanachama humu?
Hivi Remija siyo mwanachama humu?
Tutachukuaje tahadhari tukiwa tunaendesha gari wakati umesema mwenyewe ni Mungu ametwaa Mungu ametoa Mungu ameua, jina lake lihimidiwe? Unadhani unaweza kuzuia mipango ya Mungu?Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake libarikiwe. Mungu awape faraja ndugu zake na wale wote wanaoguswa. Wote tuchukue tahadhari kubwa wakati tunaendesha gari au kuwa ndani ya gari hasa pale tunapotaka kuovertake gari lililosimama au linalotembea. Ajali nyingi zinatokea hasa kwenye mazingira kama haya.