Hivi Remija siyo mwanachama humu?
Hivi Remija siyo mwanachama humu?
anaweza kuwa mwanachama, ila kwa kuwa ni mtumishi wa serikali ameshindwa kujitambulisha kulinda kibarua chake. Tupo wengai watumishi wa serikali tukito majina yetu, kibarua kitaota majani.
mungu akupe nguvu dada rejima.
kazi ya mungu haina makosa, apumzike kwa aman.
amina.
Hivi kamkwepeshaje?