Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,635
- 6,233
Burning Spear nampendea kwa vyombo vya mziki. Ukisikiliza kwenye Headphone nzuri, tuseme kuanzia US $ 150 kwenda juu (ukiacha Dre Beats na hizi za kununua jina) tuseme kama AKG, basi utasikiliza hizo sauti hadi unakubali umahiri wa jamaa. Anakuwa kama anawapiga Jazz ila jamaa wanapiga Reggae na wengine anawaongezea.
Katika hizo nyimbo, This Man naupenda zaidi, Think Stupid kiasi na Marcus Garvey umekaa kisiasa zaidi. Hebu ona hawa akina Mama wanavyopuliza saxaphone zao hadi unabaki kinywa wazi.
Katika hizo nyimbo, This Man naupenda zaidi, Think Stupid kiasi na Marcus Garvey umekaa kisiasa zaidi. Hebu ona hawa akina Mama wanavyopuliza saxaphone zao hadi unabaki kinywa wazi.
Burning Spear ni mkali, napenda pamoja na vibao vingine, This man, . . . think stupid, marcus Gavey . . . . . .
Last edited by a moderator: