Regards, Maundumula

Maundumula

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
7,550
Reaction score
3,092
Habari,

Mi mwenzenu mara nyingi huwa napost vitu hapa JF nikiwa kazini. Mara nyingine unakuta naandika na e-mail za ofisi pembeni nime minimize hii screen.

Sasa inatokea sana najisahau nikiwa napost hapa JF mwisho naandika Regards, Maundumula (Jina la ukweli) halafu kabla sija submit nakumbukaga Hamad!! nafuta.

Nina wasi kuna siku itani cost!

Regards

Maundumula
 
Unaogopa nini kwani hilo jina unalo wewe peke ako? Kama unacho ukifichacho jitahidi uwe makini, mean usijisahau!
 
Ha ha ha ha,
Mie huwa nataka kukosea mfano nikitaka kusema

Nicheke mie kongosho, nataka kuandika la ukweli
 
Usiogope hata jakaya yupo JF kwahyo wakiona signature yako tutajua kumbe maundumula(Jina la ukweli) ni mjanja
 
Ni fisadi papa nini
Au una miradi kibao ya kifisadi
Au ni mtu wa wake za watu unaogopa yatafumuka siku ya siku
 
Ni fisadi papa nini
Au una miradi kibao ya kifisadi
Au ni mtu wa wake za watu unaogopa yatafumuka siku ya siku

Hehehe

Sina ujuzi wa kuiba wake za watu hiko kipaji wanacho wachache sana wenye uthubutu na ujasiri
 
sijui wewe ndo boss wangu kosea basi ...aaagh😛oa
 
Hivi kwanini watu wanaogopa kutaja majina yao?

Mi nashangaa sana.

Regards,

Chrispine.
 
Ha ha ha ha,
Mie huwa nataka kukosea mfano nikitaka kusema

Nicheke mie kongosho, nataka kuandika la ukweli

Mmmm ukikosea si una amend fasta kabla hatujaona :lol:
 
Unaogopa nini kwani hilo jina unalo wewe peke ako? Kama unacho ukifichacho jitahidi uwe makini, mean usijisahau!

Naogopa unaweza kunigundua kama mimi ni colleague wako wa kazini hapa :A S embarassed:
 
Hivi kwanini watu wanaogopa kutaja majina yao?

Mi nashangaa sana.

Regards,

Chrispine.

Tunajuaje kama wewe ni krispini ukweli??? labda uki scan kitambulisho yako uweke hapa ya mpiga kura :lol:
 
Hehehe

Sina ujuzi wa kuiba wake za watu hiko kipaji wanacho wachache sana wenye uthubutu na ujasiri

Wapi wewe
Wakati una kashfa ya kutembea na mke wa mtu ndo maana ukitoka kazini huthubutu kurudi home mpaka kigiza kiingie ili mwenye mke asikuone
Na nyumbani kuna taarifa kuwa umesafiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…