CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
2014 ilianza kwa majonzi mazito sana kwa kumpoteza baba aliyekuwa amebaki "Kaka mkubwa". But iliisha kwa furaha maana Mungu alijibu maombi ya kile nilichokiomba for 2 year.
Mwaka 2015 umeanza kwa dalili njema... Will be back after 1 month kuelezea hizo dalili njema! Mnikumbushe eeh...
Mwaka 2015 umeanza kwa dalili njema... Will be back after 1 month kuelezea hizo dalili njema! Mnikumbushe eeh...