koma! kujifanya unanijua.
sasa Fab humu umekuja punguza stress au kuongeza mbona mgomvi ivo dada yapi yanayokusibu
either way,hayakuhusu.
Wat are we Fabricate?:embarrassed::embarrassed:
haya sikukuu njema
Chauro hizi hasira za keyboard achana nazo mimi huwa naishia kucheka unamkasirika na mtu usiyemjuasasa Fab humu umekuja punguza stress au kuongeza mbona mgomvi ivo dada yapi yanayokusibu
Chauro hizi hasira za keyboard achana nazo mimi huwa naishia kucheka unamkasirika na mtu usiyemjua
mokoyo well saidi cant be a coward to that extent, kuheshimika kwa jukwaa hakuambatani na kuogopana kuambiana ukweli. Sheria na taratibu za jf nazitambua na kuzifuata pia. Wacheni kupambanapambana hapa kinafiki wakati baadhi yenu ndio wenye comments chafu leo hii mnafanya tathimini za kinafiki. Mods kama kuna kuna ban kwa member kusema ukweli then i dare to say am here for it
Huyu kimey mpango wa nje unamuharibu sana ngoja nimtafute nimwambie arudi kwako mpango mzimafainest jambo banaaa?ukinionea kimey wangu mpe salam,,,achana na .......za keyboard
Huyu kimey mpango wa nje unamuharibu sana ngoja nimtafute nimwambie arudi kwako mpango mzima
Ngoja nimwambie atoke huko haraka yasije yakamtokea kama yule jamaa pale ROMBO GREEN VIEWutaniua kwa presha,,,pls do it for me
Chauro hizi hasira za keyboard achana nazo mimi huwa naishia kucheka unamkasirika na mtu usiyemjua
hahaha haya mambo tuyaogope sana, yana fedheha hapa duniani na mbinguniNgoja nimwambie atoke huko haraka yasije yakamtokea kama yule jamaa pale ROMBO GREEN VIEW
Now this is where you drive the Chair nuts,,,,, miss u too,, mkoloni tu ndo tabu (hivi unamjua ?)
i cant be a coward to that extent, kuheshimika kwa jukwaa hakuambatani na kuogopana kuambiana ukweli. Sheria na taratibu za JF nazitambua na kuzifuata pia. Wacheni kupambanapambana hapa kinafiki wakati baadhi yenu ndio wenye comments chafu leo hii mnafanya tathimini za kinafiki. Mods kama kuna kuna BAN kwa member kusema ukweli then i dare to say am here for it
A point of correction, mwenyekiti wa MPANGO MZIMA
Okey Ndugu Smiles, hili limekwisha, tumeelewana, wameelewa. Tugange yajayoNow there umeongea, but when u start callin people wanafiki and talk abt ufedhuli...that was not right to my point of view coz we are not here to judge eachother
Okey Ndugu Smiles, hili limekwisha, tumeelewana, wameelewa. Tugange yajayo
A little correction miss smiles....am not saint as such...its rather st...Hello Mr. Saint!!
Closer...closer!.
We are witnessing the downward spiral toward the end of JF mentors.!