Referee Kefa Kyombo yupo kuipa Simba matokeo ya utata

Heee! Goli limefungwa dakika ya 24 ya nyongeza!! ziliongezwa dakika ngapi?
 
Ndo maana mkikutana na Pdidy Young Africans Huwa anawapiga 5
Na kuwafunga mara nne mfululizo na kukimbia mechi maana mechi ya Yanga waamuzi Wanachama wa Mangungu Huwa hawap
Hivi vilio vya utopolo ndo tunavyopenda kuviskia, vinaleta burudani maskioni mwetu
Huwa unafurahia vile vile Yanga akikufunga mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5
 
Una tatizo kichwani
Kila ninachokiandika hapa jua nimefanya utafiti wa kutosha
Ndo maana wewe umeamua kuwa shabiki yangu na kufatilia maandiko yangu mara Kwa mara
Narudiaa tena acha upumbavu umefanya utafiti gani wewe, nimeamini mashabiki wa utopolo wengi huwa hamuangalii mechi za simba bali mnaokoteza tu story za mitandaoni na vijiweni, haya nimekuwekea picha za marefa waliochezesha mechi za simba vs mashujaa na simba vs coastal union.. na wewe weka picha za marefa waliochezesha hizo mechi nyingine unazosema simba walipewa penati zisizo halali ili tuthibitishe kama refa ni yule yule au la!!
 
Ndo maana mkikutana na Pdidy Young Africans Huwa anawapiga 5
Na kuwafunga mara nne mfululizo na kukimbia mechi maana mechi ya Yanga waamuzi Wanachama wa Mangungu Huwa hawapo
Malalamiko yenu yatabaki kuwa yakijinga na yatapuuzwa kama ilivyozoeleka no wonder kila siku mnapigwa hela na Simon Patrick.

Mna mtu mwenye elimu ya uhandisi yupo kwenye department ya mpira muda mrefu lakini eti mimi Scars nilikuwa najua kuwa haiwezekani kwenda CAS bila kuanzia TFF ila huyo injinia na mawakili wake hawakulijua hili.

Mbali zaidi na mashabiki wengi ukiwemo wewe mkaaminishwa kuwa mtaenda kupewa point 3 za kiujeje.

Kwa hiyo kama nilikuwa sahihi wakati ule na uongozi wako ulijipotosha basi niamini na muda huu hata kwenye hili kuwa zile ni goli halali.
 
Nendeni CAS mkafanye come back
 
Ndo maana mkikutana na Pdidy Young Africans Huwa anawapiga 5
Na kuwafunga mara nne mfululizo na kukimbia mechi maana mechi ya Yanga waamuzi Wanachama wa Mangungu Huwa hawapo
Madrid anayeongoza kwa makombe mengi kafungwa mechi nne mfululizo na Barcelona msimu huu kutia ndani kipigo cha 5-2 sasa sijui mnataka kusemaje, haya tuseme Simba ni mbovu kwahiyo mnakubali kwamba hatua ambayo yanga inafika ikiwa na kikosi bora simba ina uwezo wa kufika ikiwa na kikosi kibovu, maana msimu huu simba na kikosi chake kibovu imefika fainali cafcc ambako yanga walifika wakiwa na kikosi bora tena wakiwa na striker kama mayele ila wakashindwa kubeba lile kombe.. haya msimu uliopita simba ikiwa na kikosi chake kibovu iliishia robo fainali cafcl sawa na yanga tu ambao walijisifu wana kikosi bora!!
 
Kesi CAS wewe kilaza huwezi kuelewa mantiki yake
Wewe mbumbumbu huna cha kumshauri Rais Eng Hersi Said
Hii kesi Bado mbichi
Kwa uhuni wa TFF na Karia waliopuuza kusikiliza malalamiko na kuwabebe Simba waliokimbia mechi, wakiwa na lengo la kupoteza siku ili zifike siku 21 na Yanga akose sifa ya kupeleka shauri Yao CAS, Yanga wanapeleka shitaka CAS kwanza kuzuia bodi ya ligi isipange tarehe mpya ya mchezo na pili itoe maelekezo TFF isikilize shauri na iamue vyovyote na ndo Yanga aende CAS rasmi kuwawashia moto
Hapa ndo mbumbumbu hamwezi kuelewa akili kubwa hii
 
1. Madrid ni mbovu ndo maana amefungwa na Barcelona

2 Yanga hii haitokaa icheze mashindano ya shirikisho kwaiyo usijaribu kuongelea shirikisho yaani UMISETA na huku ukihusisha Yanga ambayo hana sifa za kucheza shirikisho
Mambo ya shirikisho hebu ongeeni na Coast union, Namungo na Biashara united
 
Hivi mna habari kwamba mwanasheria wenu kajiuzulu sababu ya hayo maamuzi ya cas, hebu acheni kuwafanya watu wajinga kwa akili gani mlizotumia wanayanga kwenye hilo shauri, ninyi subirini derby ipangiwe tarehe mpya hakuna points za bure kwani mnachoogopa ni nini
 
Kweli nimeamini ni ngumu sana kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa.

Kwa undezi huu LBL haikukupitia wewe?
 
Ndo maana mkikutana na Pdidy Young Africans Huwa anawapiga 5
Na kuwafunga mara nne mfululizo na kukimbia mechi maana mechi ya Yanga waamuzi Wanachama wa Mangungu Huwa hawapo
Bado hujajenga hoja
 
Akili zako ni finyu huwezi kuelewa huu mtego
Hebu nenda kundi la manyumbu shangilia
 
 

Attachments

  • 5975645-52534e05418cd84206b9d83b372cac5d.mp4
    799.6 KB
Sasa utasemaje madrid ni mbovu wakati inaongoza kwa makombe ya uefa na la liga na ndio inajiita club above all, kwahiyo kwa kusema hayo unapingana na ile kauli yenu kwamba yanga ni bora kuliko simba kwa kigezo kwamba ina makombe mengi ya ligi kuliko simba, unasema yanga haitokaa icheze mashindano ya shirikisho wakati kila siku mnatupigia kelele na medali zenu na kusema mshacheza fainali za caf mkiwa na kikosi bora haya simba imefika huko ikiwa na kikosi kibovu hapo mna lipi la kusema
 
Kweli nimeamini ni ngumu sana kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa.

Kwa undezi huu LBL haikukupitia wewe?
Akili zako finyu huwezi kuelewa hoja ngumu hizi
Shangilia na mbumbumbu wenzako hili sakata linakuja na sura mpya na ngumu zaidi ya lilivokuwa
 
nataka kuchangia hoja ila na jiuliza ukute mtoa maada shabiki wa yanga ngoja ni ulizie kwanza yasije kua kama ya ccm na chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…