Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 702
- 1,688
Habari wakuu,
Naombi msaada wa jinsi au mtu anayeweza kuondoa error ya kwenye redio ya gari aina ya eclipse avn-g04.
Ambayo inaonesha kama vile inataka sd card
[UPDATE]
Kulingana na mawazo ya wataalam mbalimbali nimegundua kuwa hizi redio zinakua na sd card yake (memory card kama ya camera au kama ya simu na adapter yake), pale inapokuwa installed Hiyo memory card inawekwa ili kuiunlock. Baada ya hapo inaweza kutolewa na hiyo slot kutumika kama slot ya memory card kwa ajili ya nyimbo.
Pale battery la gari likitolewa na redio ikapoteza power, hapo italock tena kwa sababu ya fikra kuwa imeibiwa na itataka tena sd card yake.
Sasa kutokana na hayo na ushauri wa wataalam mbali mbali nimeamua kutafuta redio nyingine tu kwa sababu:
1. Sd card inaweza kununulika kutoka kwa wajamaa wanaojiita hv-service lakini gharama yake ni zaidi ya gharama za redio ambazo zipo mjini.
2. Hata mtu akiunlock, itakuja kulock tena pale itakapo poteza power (Sasa hapa maana yake inabidi kuwa mtumwa wa battery la gari.
3.bado kutakua na changamoto ya lugha ya redio, redio lugha yake ni kijapan tu.
4. Frequency ya redio mwisho 90MHz, sasa. Kibongo bongo kuna channel nyingi sana zitakua zinakosekana.
Mwisho napenda kuwashukuru wote kwa mawazo mbalimbali mliyotoa na kunisadia kufikia maamuzi ya kutafuta nyingine.