redio ya gari inaomba sd card

Juakali jr

JF-Expert Member
Aug 8, 2019
642
1,000
Habari wakuu,
Naombi msaada wa jinsi au mtu anayeweza kuondoa error ya kwenye redio ya gari aina ya eclipse avn-g04.
Ambayo inaonesha kama vile inataka sd card

[UPDATE]
Kulingana na mawazo ya wataalam mbalimbali nimegundua kuwa hizi redio zinakua na sd card yake (memory card kama ya camera au kama ya simu na adapter yake), pale inapokuwa installed Hiyo memory card inawekwa ili kuiunlock. Baada ya hapo inaweza kutolewa na hiyo slot kutumika kama slot ya memory card kwa ajili ya nyimbo.
Pale battery la gari likitolewa na redio ikapoteza power, hapo italock tena kwa sababu ya fikra kuwa imeibiwa na itataka tena sd card yake.

Sasa kutokana na hayo na ushauri wa wataalam mbali mbali nimeamua kutafuta redio nyingine tu kwa sababu:
1. Sd card inaweza kununulika kutoka kwa wajamaa wanaojiita hv-service lakini gharama yake ni zaidi ya gharama za redio ambazo zipo mjini.

2. Hata mtu akiunlock, itakuja kulock tena pale itakapo poteza power (Sasa hapa maana yake inabidi kuwa mtumwa wa battery la gari.

3.bado kutakua na changamoto ya lugha ya redio, redio lugha yake ni kijapan tu.

4. Frequency ya redio mwisho 90MHz, sasa. Kibongo bongo kuna channel nyingi sana zitakua zinakosekana.

Mwisho napenda kuwashukuru wote kwa mawazo mbalimbali mliyotoa na kunisadia kufikia maamuzi ya kutafuta nyingine.
 

Attachments

 • 20190808_052802.jpg
  File size
  201.7 KB
  Views
  22
 • 20190808_055253.jpg
  File size
  636.7 KB
  Views
  24
 • yandex.PNG
  File size
  212.5 KB
  Views
  22

penadu

JF-Expert Member
Dec 24, 2016
604
1,000
Program loading is required Press the open button on the panel and insert the SD card or program update media


Translated from google translator
 

Juakali jr

JF-Expert Member
Aug 8, 2019
642
1,000
Program loading is required Press the open button on the panel and insert the SD card or program update media


Translated from google translator
Asante Mkuu,
Changamoto iliyopo ni sehemu ya kuipata hiyo program mkuu
 

bg2017

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
501
1,000
Solution ni kutoa hiyo radio na kuweka radio mpya nishakutana na hiyo kesi zamani kidogo nikaupdate na hakuna jipya
 

abdi ally

JF-Expert Member
Dec 4, 2018
1,565
2,000
Solution ni kutoa hiyo radio na kuweka radio mpya nishakutana na hiyo kesi zamani kidogo nikaupdate na hakuna jipya
Kakununue redio mpya tu hayo maredio yako program za kichina huko na hata station redio za kwao huwez pata frequency mpaka uchange program uweke mfumo wa tz
 

Juakali jr

JF-Expert Member
Aug 8, 2019
642
1,000
Kakununue redio mpya tu hayo maredio yako program za kichina huko na hata station redio za kwao huwez pata frequency mpaka uchange program uweke mfumo wa tz
Ni kweli mkuu hii redio frequency mwisho 90.
Nimeamua kununua nyingine tu na hii kuiweka kama pambo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom