Jamani mimi ni muislamu lakini mbona sijawahi fundishwa madarasa kuwa wanawake wabaguliwe katika shughuli mbalimbali? Redio na tv imani hawana mtangazaji hata mmoja mwanamke mbaya zaidi hata akipiga simu kuchangia anakatiwa simu, muuh! Mbaya sana. Mbona ile redio ya BAKWATA ina watangazaji wanawake? Uisalamu wa Redio na Tv imani ni upi? Basi sisi waislamu tunakasoro mbaya sana.