Redio E-Fm wanapika data kujiongezea ubora, ukweli ni huu

Redio E-Fm wanapika data kujiongezea ubora, ukweli ni huu

Wewe mtoa Uzi utakuwa mtangazaji hapo clouds,No,I meant utakuwa one of the big fish hapo mawingu.
Na wewe ukiwa kama big fish ulitakiwa ku-impove ratings na siyo kuleta hoja muflisi hapa.
Hoja Mufilisi na Screenshot zote hizo? Dah!
 
E FM kiukweli imefanya mapinduzi halisi katika suala la radio station,kutokana na ubunifu kiukweli Wanasepa na JIJI ni Kama Msanii mpya aje kuchukua utawala wa Ali Kiba au Diamond katika bongo fleva pia Efm inatufundisha kwamba inawezekana Ukafanikiwa iwapo utajituma,Binafsi Nasikiliza radio zote but kutokana na kipindi husika lakini sana E FM na Clouds FM.
Nakubaliana na wewe lakini sasa wasipike data mkuu
 
Simiyu FM mbona amjatuweke jamani kila kitu ni nyinyi wa dar es salaam tu!
 
Duuhh et tbc fm inazid times fm???? [HASHTAG]#chembe[/HASHTAG] ya shaka imeongezeka
 
Habri wanaJF,

Redio ya E-Fm imekuwa ikitoa taarifa ambazo sasa zimethibitika kuwa ni za kupikwa zinazoonyesha kuwa wao ndio wanawasikilizaji wengi kuliko vyombo vingine kwa jiji la Dar es Salaam.

Hatukatai watu wa E-Fm wanafanya sana kazi. Sasa wajuvi wa mambo wamezama ndani na kuibuka na ukweli wenyewe;

Na kwa wasiojua Geopoll ndo watoaji wakuu wa takwimu za Radio na Tv nchi nyingi Africa. Kwa Tanzania ndio watoaji pekee

Hii ni taarifa ya kupikwa ya E-Fm Redio,



Na hizi ndio data za kutoka kwenye source za ndani,

View attachment 424074
View attachment 424138
View attachment 424139

Taarifa hizi ni Kwa msaada wa Ukurasa wa Twitter wa Ndugu: @salim_alkhasas
hiz za kupika....
 
Wenye akili zao wanajua wazi kwamba EFM inaendeshwa ki-propaganda! Mwanzoni walianza kutembeleea nyota ya Lady Jay Dee hadi pale ilipokuja kufahamika kwamba Jide hausiki!

Wakati wanatembelea nyota ya Jide ilikuwa ni kipindi cha beef kati ya Jide na Clouds... beef ambalo Sugu nae akaingia kati! Kwahiyo haters woooooote wa Clouds, wakaanza ku-support "radio ya Kamanda Jide...!" aliyekuwa anapata support toka kwa Kamanda Sugu! Siasa za EFM hapa ndipo zilianzia! Wale wanaojifanya hawasikilizi Clouds (lakini utashangaa leo mtu anahoji "yaani hadi leo unasikiliza Clouds" baada ya siku mbili tatu huyo huyo anaanzisha mada ya kuponda mtangazaji fulani katika kipindi cha Clouds... mtu unashangaa kamsikiaje wakati hasikilizi Clouds) ndio wakaanza kuwa wapiga kelele in favor EFM!!!

Inabidi uwe ni yule jamaa mmoja katika wanne ndipo uweze kuamini EFM ina wasikilizaji wengi kuliko Clouds!!!!!
 
Efm wanatumia takwimu za Dar na Mkoa wa pwani pekee ndio wanapoongoza. Sio ukanda mzima wa pwani including Moro na Tanga km data zako zinavyoonyesha.. So hakuna upikaji wa data kama unabisha nenda mtaani usikie Kitenge anavyochana mawimbi kila kona kuanzia daladala mpk saluni zoooote.
 
Back
Top Bottom