Redio Clouds na mambo ya kitoto

Redio Clouds na mambo ya kitoto

PrN-kazi

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
2,900
Reaction score
445
Redio clouds leo imedhirisha kwamba hipo kimzaamzaa kwa kuendekeza mambo ya kitoto yasiyokuwa na msingi wowote ususani ktk kumuendeleza mtanzania kifikra na kadhalika kiuchumi:

Tangu asubuhi wanajadiri kufungwa kwa Manchester united na Barcelona juzi kana kwamba hakuna mtu aliyeshuudia mechi hiyo. Yapo mambo mengi ya msingi ambayo yangeweza kujadiliwa na kuweza kuleta mabadiliko ktk jamii mfano:- Usafi wa jiji, mbinu mpya za ujasiliamalii, ajari za barabarani n.k,

Hao akina Mhando na wenzie hayo mambo hawayaoni, wanabaki studio kuchekacheka na kubana pua kama machangudoa utafikiri kuna aliyewaahidi kuwapa Bia za bure kwa kushangilia Barcelona kwenye Studio.

Kwakweli sijafurahia mambo wanayoyafanya kupitia hii Redio, hakuna amabaye hakuna kwa jinsi Manchester ilivyofungwa na wala Clouds wakichonga sana Barcelona hawawezi kuwatambua bali nikukosa ubunifu wa kutumia Vyombo vya habari.

.
 
Waache wafurahie, wengi ni mashabiki wa timu pinnzani na manchester, mwaka huu wote hawana kombe, sasa huo si ndio ushindi wao!
 
Redio clouds leo imedhirisha kwamba hipo kimzaamzaa kwa kuendekeza mambo ya kitoto yasiyokuwa na msingi wowote ususani ktk kumuendeleza mtanzania kifikra na kadhalika kiuchumi:

Tangu asubuhi wanajadiri kufungwa kwa Manchester united na Barcelona juzi kana kwamba hakuna mtu aliyeshuudia mechi hiyo. Yapo mambo mengi ya msingi ambayo yangeweza kujadiliwa na kuweza kuleta mabadiliko ktk jamii mfano:- Usafi wa jiji, mbinu mpya za ujasiliamalii, ajari za barabarani n.k,

Hao akina Mhando na wenzie hayo mambo hawayaoni, wanabaki studio kuchekacheka na kubana pua kama machangudoa utafikiri kuna aliyewaahidi kuwapa Bia za bure kwa kushangilia Barcelona kwenye Studio.

Kwakweli sijafurahia mambo wanayoyafanya kupitia hii Redio, hakuna amabaye hakuna kwa jinsi Manchester ilivyofungwa na wala Clouds wakichonga sana Barcelona hawawezi kuwatambua bali nikukosa ubunifu wa kutumia Vyombo vya habari.

.

my sweetboy r u man u?
:dance:..mi timu yangu maji maji..!!
 
mi nasikiliza radio one nikiwa njiani kwenda kibaruani na jioni nikitoka nasikiliza magic fm.
 
Si clouds tu bali WaTZ ndivyo tumekuwa siku hizi! Unakuta mtu anawafahamu mpaka 'mahouse girls' na walinzi wa Ferguson au Lionel Messi lakini hafahamu hata ni nani anasababisha matatizo yanamkabili! Time has already told us but we do not want to hear even!!!
 
We, vipi? Najua umekereka kufungwa na hizo kashfa za clouds fm zinakuuma, cha kushangaza TANGU ASUBUHI unawasikiliza!:dance: acha watu wafurahi, maana Man U, wangeshinda na NYIE mngefurahi! Kutesa kwa zamu!
 
kwanza mtoa mada nadhani anachuki binafsi na kituo hicho, kama angeona inamkera angebadili stesheni sababu ziko nyingi sana siku hizi za FM na si kuleta mambo yake binafsi hapa, pia aelewe kuwa kike kituo ni kituo cha burudani hivyo wana haki ya kufanya maamuzi gani leo watumie kuendana na tukio lililopo kwa muda huu, binafsi nadhani leo kama angepata muda angepitia sehemu mbalimbvali za kazi bila shaka angekereka sana sababu leo kila mtu ambao tangu juzi ijumaa wameachana kazini kwenda mapumzikoni leo wanakumbushia mechi hiyo au hata ile ya simba wa wacomoro, je nao arasema wana mambo ya kitoto?
 
Wote tunamfahamu! Kama humfahamu pole! Au nikudokeze?
 
Acha kusikiliza kituo hicho, ya nini kila siku mkija humu ni kulaumu tu.....
 
We, vipi? Najua umekereka kufungwa na hizo kashfa za clouds fm zinakuuma, cha kushangaza TANGU ASUBUHI unawasikiliza!:dance: acha watu wafurahi, maana Man U, wangeshinda na NYIE mngefurahi! Kutesa kwa zamu!

kama kutesa ni kwa zamu sasa we zamu yako ni lini? au umejivalisha gamba la Barcelona na wewe????
 
Huyu bado ana kiwewe cha messi hakijamwisha, unataka watu waongelee nini? sasa kwa taarifa yako hata bunge lingekuwa limeanza spika angechombeza hili swala la mechi ya hii fainali. hatuitaji mambo ya siasa muda wote tunahitaji kurelax some time, na ukweli ni kwamba Man Utd wamepigwa kipigo cha mbwa mwizi nyumbani kwao na Simba imechapwa tatu bila huko Cairo, huu ni ukweli ambao hauwezi kuubadilisha wala huna haki ya kuwapangia watu wazungumze nini kwa wakati gani. you are a looser.
 
kwanza mtoa mada nadhani anachuki binafsi na kituo hicho, kama angeona inamkera angebadili stesheni sababu ziko nyingi sana siku hizi za FM na si kuleta mambo yake binafsi hapa, pia aelewe kuwa kike kituo ni kituo cha burudani hivyo wana haki ya kufanya maamuzi gani leo watumie kuendana na tukio lililopo kwa muda huu, binafsi nadhani leo kama angepata muda angepitia sehemu mbalimbvali za kazi bila shaka angekereka sana sababu leo kila mtu ambao tangu juzi ijumaa wameachana kazini kwenda mapumzikoni leo wanakumbushia mechi hiyo au hata ile ya simba wa wacomoro, je nao arasema wana mambo ya kitoto?

Kukumbushana mambo ya mipira kazini!!!!!!!, kama kweli na we unafanya hivyo basi unapata mshahala wa bure; itabidi uundiwe tume.
 
Bora na mie nifanye hivyo, Clouds ni kichefuchefu

Bora kusema ukweli, mie nakerwa sana na maneno mbofumbofu na Kibonde kiukweli jamaa analugha chafu hachagui maneno ya yapi yakuongelea kwenye Radio na yapi yakuongelea kirabuni. Yeye anachojua ni kuropoka tu.
 
We umejua leo kuwa hiki kituo cha radio ni cha kinafki mi siwezi kupoteza muda kusikiliza hicho kituo cha radio,kuna wakati walikuwa wanamponda Husein machozi kisa hajatoka kimuziki kupitia dar,mpaka akawaambia mtaipenda tu,utafikiri kazi yao ni kuponda watu!
 
Hawa jamaa hizo ndio zao mautani mengi hawajui sometimes wanakera watu.
 
Back
Top Bottom