Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
mmmh. Duh
Hapana Ladymasa... hunioni nilivyo hendisamu,hadi natamani kukutangazia nia? cc Baba VAhsante! halafu we Free Thinker ni vampaya au macho yangu? mimi huwa nawaogopa very hawa kriechaz!
Msalm mkeo Marry Hunbig
mmmh. Duh
Kumbe.Sikujua
Hivi hapa ndo pa kuandika barua ya kimapenzi au ni ya kifamilia mi sijaelewa mweee.
Kwani ndo nani wangu?
Kaizer umemaliza swaiba.
Huyu Arushaone ameshakuwa NYUKI WA MASHINE...na Lady doctor ameamua kumhifadhia siri.
Afu anakuja na visingizio vya kustaafu USUWATI.
Umekwisha kazi yako Arushaone...yaani KWISHNEY
CC Mzee wa Rula, PakaJimmy, Filipo Arabela
Rejea safari ya Korogwe....white parrot...stand....JT
Anaweza kujifanya haelewi maana ya nyuki wa mashine, maana yake ni nyuki ambaye hana madhara maana haumi au hang'ati.
Cc Arushaone
He!!!!!!!!! swahiba hata wewe?
Siamini!!!!!
Eti wewe hata mtu aingize mkono kwenye mzinga,hung'ati,wewe nyuki wa mashineni.
kabla sijaita m 23 hapa waje wamwage Sumu nataka kuskia kauli yako Arushaone.
cc Lady doctor,
Blaki Womani,
@ma mzalendo,
Madame B
Na wewe unezeeka huna nguvu teena...za kumuua simba..simba ni mkalii
Bishaaaa!!!
.....Afu wewe binti kuna kitu nimestuka toka rohoni, unanifatilia sana kwa ubaya....yatakayokukuta sitaki lawama.
Eti wewe hata mtu aingize mkono kwenye mzinga,hung'ati,wewe nyuki wa mashineni.
kabla sijaita m 23 hapa waje wamwage Sumu nataka kuskia kauli yako Arushaone.
cc Lady doctor,
Blaki Womani,
@ma mzalendo,
Madame B