REDET, Twaweza, huu ndio wakati wenu

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
17,330
21,421
Tumezoea kupokea tafiti na tathimini nyingi tofauti katika vipindi tofauti,kwa kipindi hiki naona kama wapo kimya sana,

Ningewaomba wafanye utafiti je kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu wananchi wanaridhika na utawala wa nchi yao na kiasi gani wamepiga hatua chini ya utawala huu au wamebaki walipo au wamefilisika zaidi

Tafiti huru zisiwe na kikomo
 
Kwa fikira zako unadhani watakuja na tafiti ya kuonyesha wananchi hawaridhiki???lazima wamsifie mkuu
 
Kwa fikira zako unadhani watakuja na tafiti ya kuonyesha wananchi hawaridhiki???lazima wamsifie mkuu
Watanzania wamebadilika wanaweza kugomea kama watapindua kuwa wanaridhika wakati mambo si shwari
 
Back
Top Bottom