qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,382
Bora hata gazeti linaweza kukupa habari zinazoendelea duniani.
Maandiko yenu huku yanakwambia "haraka haraka haina baraka" huku yanakwambia "ngoja ngoja yaumiza matumbo".
Huku yanakwambia hakuna neema bila ya rehema ya mungu, huku yanaulaani mti mtini kwa kukosa kuzaa, kitu ambacho kinakuja kwa rehema ya mungu.
Don't get me started, I don't do it, I overdo it.
Matola mungu tulimpa masaa 24 animalize wiki ya tatu inaenda hii.
Hata mafua sijapata!
Na hata umpe nusu saa kamwe hatokufanya lolote coz hajaribiwi kiivyo ndugu.
Anajaribiwaje?
Anakupa nafasi bado ipo siku utarudi kundini na kumjua akikuua ukiwa hauja muamini haitasaidia kwani hapendi kondoo wake wapotee bali wawe na uzima tele.....
Teh teh, eti ujinga! wajinga ni wale wanaosema mioyoni mwao hakuna Mungu na nadhani tar yenu ndio imepita ambayo ni 1/4. tehEclipses zimetokea kabla hata ya Yesu kuja.
Huu si utabiri, ni ujinga tu.
Dah kweli wewe ni Kiranga aka the atheist.Kea nini kanopa nafasi na mimi sijamuomba?
Mimi sipendi kupews nafasi ambazo dojaziomba.
Kanikosea heshima.
ilitabiriwa hivi
Joel 2:31 The sun shall be turned into darkness, and the moon into blood, before the great and terrible day of the LORD shall come.
Teh teh, eti ujinga! wajinga ni wale wanaosema mioyoni mwao hakuna Mungu na nadhani tar yenu ndio imepita ambayo ni 1/4. teh
Hapo red, nitakuthibitishia endapo nawe utathibitisha kwanza kuwa hayupo. Na penye blue, hebu nawe lete hadithi zako za atheist wa ulaya sijui wewe umekaririshwa na nani hizo stori za Mungu hayupo, maana sina hakika kama ni idea uliyokuwa nayo tokea utotoni.Thibitisha kwamba yupo kabla ya kurukia assumptions za hadithi kwamba ananipenda.
Na kwa nini anipende wakati mie simkubali?
Vipi kama sipendi kupendwa, hapo si atakuw ananitendea kinyume?
Na hata umpe nusu saa kamwe hatokufanya lolote coz hajaribiwi kiivyo ndugu.
Hata shetani alipomjaribu Yesu alitumia style kama yako "ikiwa" "basi" kama wewe mwana wa Mungu basi fanya hivi mara geuza jiwe kuwa mkate mara nikurushe malaika wakuokote.....
Yesu akamwambia usimjaribu Bwana Mungu wako.
Eclipses zimetokea kabla hata ya Yesu kuja.
Huu si utabiri, ni ujinga tu.
Thibitisha kwamba yupo kabla ya makelele mengi.
Thibitisha kwamba mungu yupo, kabla ya kuthibitisha hilo, huwezi kusema mtu anaye challenge uwepo wa mungu ni mjinga.
Na kama ni mjinga, basi wewe ni mjinga zaidi yake.
Kwa sababu umeshindwa kujibu challenge ya mjinga.
ilitabiriwa hivi
Joel 2:31 The sun shall be turned into darkness, and the moon into blood, before the great and terrible day of the LORD shall come.
Eclipses zimetokea kabla hata ya Yesu kuja.
Huu si utabiri, ni ujinga tu.
Hapo red, nitakuthibitishia endapo nawe utathibitisha kwanza kuwa hayupo. Na penye blue, hebu nawe lete hadithi zako za atheist wa ulaya sijui wewe umekaririshwa na nani hizo stori za Mungu hayupo, maana sina hakika kama ni idea uliyokuwa nayo tokea utotoni.
ilitabiriwa hivi
Joel 2:31 The sun shall be turned into darkness, and the moon into blood, before the great and terrible day of the LORD shall come.
Bora hata gazeti linaweza kukupa habari zinazoendelea duniani.
Maandiko yenu huku yanakwambia "haraka haraka haina baraka" huku yanakwambia "ngoja ngoja yaumiza matumbo".
Huku yanakwambia hakuna neema bila ya rehema ya mungu, huku yanaulaani mti mtini kwa kukosa kuzaa, kitu ambacho kinakuja kwa rehema ya mungu.
Don't get me started, I don't do it, I overdo it.
Matola mungu tulimpa masaa 24 animalize wiki ya tatu inaenda hii.
Hata mafua sijapata!
kwa hiyo alivyotabiri yesu alichemka?
Visivyokuwapo havithibitishiki kwamba havipo, kwa sababu havipo.
Kama tunathibitisha fulani yupo kwa kuangalia fingerprint zake, kama hayupo hatuwezi kuwa na fingerprint kuthibitisha kwamba yupo/ hayupo.
Lakinu kama yupo tunaweza kupata fingerprints.
The burden of proof is on the side that says gid exists. The dissenting side has to only ask for proof.
Vilivyopo ndivyo vinathibutishwa kwamba vipo, kwa sababu vipo.
Thibitisha kwamba mungu yupo.
Kwani Kitabu cha Joel kiliandikwa wakati wa Yesu. Ndio maana unaonekana kituko kwa wanao fahamu na wenye ufahamu.
Jibu lako linaonyesha jinsi gani umejaa chuki kwa kushindwa maisha kule.