Red moon: Total Lunar Eclipse

Red moon: Total Lunar Eclipse

Tiger

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2007
Posts
1,747
Reaction score
387
Wamarekani leo wanashuhudia tukio la kihistoria ambalo limetokea mara 3 tu katika miaka 500 iliyopita.
Ni kupatwa kwa mwezi ambapo mwezi huwa mwekundu kwa masaa kadhaa.
What a magnificent moment for them.
MziziMkavu alituambia hili mapema.
Asante mkuu Mzizi.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Ctr
Wazee wa box, NyaniNgabu, Kiranga and so tupeni experience ya hali ya mambo huko majuu.
 
Last edited by a moderator:
I hope Tyta atatuwekea picha, mimi natumia kasimu ka mchina.
 
Last edited by a moderator:
Oooh my god, John hagee was right, Jesus is coming, ref full blood moon, lord help us the clock is ticking
 
Teh teh! Bwana Yesu alisema "naja upesi".
Ila kuna watu aliwaahidi kuwa wesingeonja mauti kabla ya ujio wake wa mara ya pili. Leo ni niaka elfu mbili tangu yasemwe hayo.
Wapi Kiranga & NyaniNgabu.
 
Last edited by a moderator:
Aaah, huku kwangu mawingu matupu hata nyota sikuziona, nimeona kwenye TV tu.
 
ilitabiriwa hivi
Joel 2:31 The sun shall be turned into darkness, and the moon into blood, before the great and terrible day of the LORD shall come.
 
Teh teh! Bwana Yesu alisema "naja upesi".
Ila kuna watu aliwaahidi kuwa wesingeonja mauti kabla ya ujio wake wa mara ya pili. Leo ni niaka elfu mbili tangu yasemwe hayo.
Wapi Kiranga & NyaniNgabu.

Matthew 22:29 Jesus answered and said to them, Ye do err, not knowing the scriptures, nor the power of God na Petro akaeleza hivi
2 Peter 1:20 Knowing this first, that no prophecy of the scripture is of any private interpretation.
Hao akina Kiranga na Nyani Ngabu ni watu wanaosoma maandiko kama gazeti ndio maana.
 
Bora hata gazeti linaweza kukupa habari zinazoendelea duniani.

Maandiko yenu huku yanakwambia "haraka haraka haina baraka" huku yanakwambia "ngoja ngoja yaumiza matumbo".

Huku yanakwambia hakuna neema bila ya rehema ya mungu, huku yanaulaani mti mtini kwa kukosa kuzaa, kitu ambacho kinakuja kwa rehema ya mungu.

Don't get me started, I don't do it, I overdo it.
Matola mungu tulimpa masaa 24 animalize wiki ya tatu inaenda hii.

Hata mafua sijapata!
 
Last edited by a moderator:
Hivi kumbe mlifikia hatua ya kumpa Mungu masaa 24!!!!!?
 
Kwa sababu Mungu hamuui mtu, lakini anamsubiri arudi na mara arudipo inakuwa ni furaha kubwa mbinguni, kwa hiyo bado anakupa nafasi katika maisha.
 
Kea nini kanopa nafasi na mimi sijamuomba?

Mimi sipendi kupews nafasi ambazo dojaziomba.

Kanikosea heshima.
 
ilitabiriwa hivi
Joel 2:31 The sun shall be turned into darkness, and the moon into blood, before the great and terrible day of the LORD shall come.

Eclipses zimetokea kabla hata ya Yesu kuja.

Huu si utabiri, ni ujinga tu.
 
Hivi kumbe mlifikia hatua ya kumpa Mungu masaa 24!!!!!?

Tena si mara ya kwanza, kuna siku nafikiri miaka kama mitano nikishampa masaa 24 akashindwa kufanya lolote.

Inaonyesha mungu huyu ni wa maboksi tu, mnaogopa kitu ambacho hakipo.
 
Kwa sababu ANAKUPENDA.

Thibitisha kwamba yupo kabla ya kurukia assumptions za hadithi kwamba ananipenda.

Na kwa nini anipende wakati mie simkubali?

Vipi kama sipendi kupendwa, hapo si atakuw ananitendea kinyume?
 
Back
Top Bottom