Red Lingerie

LOL nitashuru maana pia kutofautisha rangi kwenyewe kunanishinda hasa blue na kijani, pink na puple hapo sijuagi kabisaaaaaaa.. ila nyeusi na nyeupe no p
Hahahah haya bwana
Sasa tuanze na baby steps lol
hapo kwenye hiyo lap top yako
nenda kwenye uwanja inaitwa "google"
halafu type"rainbow" hapo ndo mahali kila
mtu anapata rangi yake sasa jaribu na wewe ea
haahahaha lol :)
 
em ngoja nijaribu..
 
wana uchaguzi a hali ya juu sana
utazani hatujazaliwa khaaaaa
mmmhh labda tumeshushwa...

but i don't blame them at all
wapunguze masifa kidoncho tu ......

Please naomba taratibu uendele kuwasisitize wapunguze misifa kabisa...
 
Hahahah
Mdogo mdogo tu
labda tutafika maana mmhh
wakianza kuongelea "what's hot and not"
mmmhh I step backwards hahahah lol

LOL ...Tutafika AD, slow but sure.... na kufanikiwa lazima nyakati nyingine kweli tu step backwards... LOL
 
LOL ...Tutafika AD, slow but sure.... na kufanikiwa lazima nyakati nyingine kweli tu step backwards... LOL

That's my girl
And that's what I'm talking bwt hahahahlol
step backwards.....
 
nakuunga mkno sana kaka. me napenda white sana pia nachukia nyekundu kuliko zote.
sina ngua hata moja nyekundu.

tupo pa1 mpenzi, kwa upande wa ndani napenda sana sana white na pink kishkaji...red haijawahi kunihamacsha hata kidogo.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
tupo pa1 mpenzi, kwa upande wa ndani napenda sana sana white na pink kishkaji...red haijawahi kunihamacsha hata kidogo.

Nyamayao jaribu siku moja tu kama kuna shem - tafuta lingerie red hot ambayo umekukaa kwelikweli (achana nawe kutoipenda kwanza) alafu umsome siku hiyo expression; ndo utashangaa anakusifu umependeza lakini hataki watu wakuone! ...LOL... alafu kama inawezekana uni PM fidbak mana am curious, achana na hizi sa kawaida ambazo unavaa wakati unajua hamna atakae kuona.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

ngoja nijaribu my dear then nita ku pm week hii haiishi, hiyo pink yenyewe yeye ndio alinifanyia mabadiliko nimezoea/alinikuta ni full white, ntakupa feedback....
 
ngoja nijaribu my dear then nita ku pm week hii haiishi, hiyo pink yenyewe yeye ndio alinifanyia mabadiliko nimezoea/alinikuta ni full white, ntakupa feedback....

Orite....mi nitam-pm kwa niaba yako....
So hujui kwamba mi na nyeupe kwisha kazi?
 
ngoja nijaribu my dear then nita ku pm week hii haiishi, hiyo pink yenyewe yeye ndio alinifanyia mabadiliko nimezoea/alinikuta ni full white, ntakupa feedback....

Nasubiri kwa hamu, maana umbea wa kujua umenivaa........
 
mie nikiona Red tu mambo hayaeleweki tena....mshituko wa damu unaanza, haijarishi iko ndani au nje au anywhere tuuu.....

Magulumangu vipi mambo
daaahh umepotea kitu
Naomba nishushie "poem " moja
Kuhusu RED.. nikumbushie GOOD OLD DAYS
Maana we ndo Master Mind wa hiyo kitu lol
Hahahah niliku misoooo sana lol
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom