Recycling face/ masks

Nadhani tuangazie zaidi kujikinga na huu ugonjwa kuliko ku base zaidi na kauli za watu hazitusaidii chochote mwisho wa siku kila mtu atumie utashi wake maana tulipewa akili ya kuchanganua mema na mabaya
 
Mwenyezi Mungu atusaidie 🙏
 
Hapo kuna mambo mawili:
1. serikali haina namna nzuri ya kukusanya taka,
2. elimu ndogo ya wengi wa wananchi, kwani hizo ni disposable, sasa ona zinasuguliwa na mswaki ambao waweza kutoboa au kuondoa uwezo wa kuwa waterproof.
 
Watu wenye mamlaka wamekaa kimya mpaka inafika wakati wasio na mamlaka wanaamua tu kujiongelea. Huu ni wakati ambao taifa linahitaji sauti moja na sio sauti za kila mtu. Wenye dhamana inapaswa watupe muongozo ili kama taifa tujue tunaelekea wapi katika kupambana na huu ugonjwa.
 
Unapotoa tamko kuwa ni lazima kila mtu avae barakoa bila kuwawezesha wananchi inabidi watumie njia wanazoweza ili watii tamko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…