"recipe" ya pilau

Daa Sigma umenitamanisha hii kazi itabidi nifanye jmos kwa raha zangu
 
Husn,
Naomba basi unifundishe kupika njegere za nazi!
maandalizi

-Chagua njegere mbichi,zioshe vizuri na ubandike jikoni zisiive sana kisha ipua.
-bandika suvuria au chungu weka mafuta na kitunguu
-kitunguu kikianza kuiva weka kitunguu saumu na
-weka nyanya kaanga hadi upate rosti
-weka njegere ponda ponda baadhi ya njegere kupata rojo
-weka nazi acha ichemke tuwi liive na ipua
 

Jamani FirstLady1.
Unaonekana fundi sana kwa mambo ya mahanjumati! Mr nyumbani anafaidi sana
 

Khaaaa............. andaa jmosi nakuja
 
yaani wewe kazi yako kusifia mademu wa watu tu, basi tafuta mumeo na wewe.
Mwita25, mbona unaangaika sana ndugu yangu, mbona unaujanja wa kizamani! Mimi kwangu JF ni furaha tu, mambo yenu Magamba na Magwanda kila mtu unataka kumletea wengine sisi hatuko huko. Poa Mwita25 endelea kumwaga nondo mkuu!
 
mkuu hii pilau yako nimeikubali sana imekaa kisela zaidi...thumb up kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…