Receiver ya mediacom.je bado zinakamata channel za kibongo?

Receiver ya mediacom.je bado zinakamata channel za kibongo?

pandagichiza

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
6,546
Reaction score
4,958
Leo naenda kununua kingamuzi~huku iringa hakuna star times digtek wala continental kwa hiyo nataka.ninunue Mediacom.je nitaona TBC star TV ITV eatv na channel ten?
 
usinunue kabisa receiver ya mediacom maana ni majanga hutapata chanel yoyote siku hizi acces yake kwenye signal ni ndogo mno,wamezichakachua sana siku hizi. nunua receiver za mpg4 utaenjoy
 
Receiver ya mediacom inaonyesha Itv,TBC,CH10,EATV,STARTV na chanel za msumbiji.
Kinachonichanganya hizi mediacom ndo intelsat?.
 
Labda za nje kama Mozambique

Tafuta receiver zenye mfumo wa mpeg4 maana mpeg2 karibu zitakua useless. Kupata channel ni maamuzi yako wewe mwenyewe ulielekezee dish wapi au utumie dish aina gani? kulingana na uhitaji wako.
 
Leo naenda kununua kingamuzi~huku iringa hakuna star times digtek wala continental kwa hiyo nataka.ninunue Mediacom.je nitaona TBC star TV ITV eatv na channel ten?

Inategemea na dish utakalonunua kwa sababu kuba baadhi ya channel signal zake ni ndogo sana kama Tbc1. Ila ukinunua dish la ft nane la bati utakuwa umekomesha ila kwa ushauri tafuta Mpeg4 receiver.
 
Inategemea na dish utakalonunua kwa sababu kuba baadhi ya channel signal zake ni ndogo sana kama Tbc1. Ila ukinunua dish la ft nane tla bati utakuwa umekomesha ila kwa ushauri tafuta Mpeg4 receiver.
Asanten kwa ushauri.Ndo naelekea dukani nikachukue hyo ya mpeg4
 
Back
Top Bottom