Recategorization

Recategorization

stieve

Member
Joined
May 19, 2018
Posts
20
Reaction score
16
Ndugu wadau

Ningependa kufahamishwa juu ya hili jambo linalohusu recateglrization kwamba kuna ndugu yangu ni Askari Polisi na ana degree ya Maendeleo ya Jamii akiwa na GPA 3.5 amefanya kazi kwa muda wa miaka mitano sasa lakini anataka kubadilisha aina ya kazi kutoka Polisi kwenda PCCB

Je inawezekana kubadili?
Je atumie utratibu gani?
Je akihama ngazi ya cheo ataanzia kipi?
Je ngazi ya mshahara itakuwa ni ipi?
Tafadhali naomba kuwasilisha
 
-Kwanza Lazima Apate Ruhusa kutoka Jeshi La Polisi.

-Akisharuhusiwa atajiunga na Hiyo taasis mpya mara moja kama alikotoka Kuna Mshahara mdogo kuliko huko anakoenda basi Atalipwa mshahara mkubwa ambao wa kuanzia Entry level pale PCCB na Kama Mshahara wake ni Mkubwa kuliko wa PCCB katika Level yake basi ataendelea kulipwa

Mifano:
Kama Police analipwa sh 0.8million na PCCB wanalipa sh 1.5million kwa mtu anayeanza kwa Level yake basi atalipwa sh.1.5million.

Kama Police Mshahara wake ni sh 1.9milllion na PCCB wanalipa Sh 1.5milllion kwa mtu anayeanza basi PCCB watamlipa Sh 1.9million kama alivyokua akilipwa na Mwajiri wake wa zamani.
 
Ndg wadau
Ningependa kufahamishwa juu ya hili jambo linalohusu recateglrization kwamba kuna ndg yangu ni askali polisi na ana degree ya maendeleo ya jamii akiwa na GPA 3.5 amefanya kazi kwa mda wa miaka mitano sasa lakini anataka kubadilisha aina ya kazi kutoka polisi kwenda PCCB Je inawezekana kubadili?
Je atumie utratibu gani?
Je akihama ngazi ya cheo ataanzia kipi?
Je ngazi ya mshahara itakuwa ni ipi?
Tafadhali naomba kuwasilisha

Maendeleo ya Jamii na PCCB?
Mbona hakufanani??
 
Back
Top Bottom