Sasa umeajiriwa vipi kama mwalimu huku huna teaching subjects.
Fafanua vzr tukuelekeze
mimi ni mwalimu wa primary bagamoyo nataka kuhamia uhasibu maaana nilisoma accounts level ya degree je barua ya recategorization ipite kwa nani kati ya afisa elimu,mkurugenz au afisa utumish
mimi ni mwalimu wa primary bagamoyo nataka kuhamia uhasibu maaana nilisoma accounts level ya degree je barua ya recategorization ipite kwa nani kati ya afisa elimu,mkurugenz au afisa utumish
Andika barua ya maombi kwenda kwa mkurugenzi kupitia kwa mkuu wako wa idara ambae ni afisa elimu unaweza pia kuipitisha kwa mkuu wa idara na afisa utumishi wakishasaini ndo inakwenda kwa mkurugenzi wa halmashaurimimi ni mwalimu wa primary bagamoyo nataka kuhamia uhasibu maaana nilisoma accounts level ya degree je barua ya recategorization ipite kwa nani kati ya afisa elimu,mkurugenz au afisa utumish
Andika barua ya maombi kwenda kwa mkurugenzi kupitia kwa mkuu wako wa idara ambae ni afisa elimu unaweza pia kuipitisha kwa mkuu wa idara na afisa utumishi wakishasaini ndo inakwenda kwa mkurugenzi wa halmashauri
Nakushaur kubali ufundishe kwanza masomo uliyosoma a level at least a year ili upate barua ya kudhibitishwa kazin then ndo uanze process hizo kupitia kwa afisa utumishi wa wilaya mambo mengine ya kufanya atakuelekeza yeye.kila la kheri
sasa hapo umenichanganyakidogo maana barua ni moja ila unaandika anuani zaid yamoja sasa nataka mfuatano mzuri mfano mkurugenz kk afisaelim kk afisa utumish then yah: sasa hapo huu nani anaanza nani anafuata

inaanza mkurugenzi then kk afisa utumishi kk mkuu wa idarasasa hapo umenichanganyakidogo maana barua ni moja ila unaandika anuani zaid yamoja sasa nataka mfuatano mzuri mfano mkurugenz kk afisaelim kk afisa utumish then yah: sasa hapo huu nani anaanza nani anafuata
inaanza mkurugenzi then kk afisa utumishi kk mkuu wa idara
Mkúu nadhani haiko sahihi kwani afisa utumishi hana nafasi yeye anafanyakazi ya kupewa na mkurugenzi. Mf: mkurugenzi kk afisa elimu kk m/mkuu. Ikifika kwa mkurugenzi ataisaini mwenyewe au atampatia afisa utumishi.
Adress:
Mkurugenzi
Kk Afisa elimu
Kk mkuu/ shule
Hay: maombi ya kubadilishiwa Kazi ( recategorisation) baada ya kijiendeleza
Yaani vijana siku hizi hata kuandika barua hamfundishwi??
Aise Elimu ya Tanzania sijui inaelekea wapi!!
NB: Natumaini mleta mada atasaidiwa kupata ufumbuzi wa tatizo lake.