Recategorization baada ya kuajiriwa serikalini

niwaulize tena hivi chek namba inaishia wapi?maana mfano mimi mwalimu nina chek namba nikaenda kuomba kazi kwa agency za serikali mfano tanesco,tra je bado chek namba itasoma kwa tanesco kwamba nimeshaajiriwa hii chek namba kwa serikali wapi haipo.

Ni kwamba ukiomba kazi kupitia tume ya ajira ukapata wao watakupa barua ya kuwa umepata kazi kwenye idara fulani ambayo ndo itakamilisha taratibu za ajira yako. Sasa wewe utaandika barua ukimuadress katibu mkuu utumishi kupitia kwa mwajiri wako, km ni ticha barua itapitia kwa mkuu shulu, afsa elimu then mkurugenzi uliomba kuhamisha taarifa zako binafsi kutoka huko kwenda mwajiri mpya. Barua ikiwa tayari km uko dar peleka mwenyewe utumishi kule mitaa ya feri then taarifa zako zitapelekwa kwa mwajiri mpya ukiendelea kutumia cheque namba ileile ya zamani.
 
kwa hyo vyote vyote inawezekana kuandika barua ukiwa kazini kuomba kufanyiwa recätegorization au kupga interview na ukipata unapeleka barua kwa ktb mkuu ndugu?
 
Porojo tu hapa ,hii kitu ni shida,kuna maafisa utumishi wazembe sana,lkn ukweli kama ulienda kusoma kitu ambacho hakiendani na ajira yako ya awali itakula kwako .ni kama mjumbe mmoja hapo juu alivyosema kuwa inategemeana na ikama ktk eneo husika.
 
upo sahihi kwani miye ni mhanga wa hii issue. Natakiwa kusoma post-graduate yenye teaching subject ili degree yangu itambuliwe kwani nilisoma psychology and counselling. Je, hapa sionewi? Ni kwanini Counselling haitambuliwi na wizara ya elimu hadi uwe na teaching subject?
 
MZIBHAZI

Hata barua hujui kuandika then (unajiita) degree holder? Unawaabisha wenzio.
Hicho cheti ulichoombea kazi ni chako? Maana kuna mdada * F4 failure* ameajiriwa ualimu kwa kutumia cheti cha dada yake aliyefaulu na kuendelea na High school.
 
Last edited by a moderator:
Hata barua hujui kuandika then (unajiita) degree holder? Unawaabisha wenzio.
Hicho cheti ulichoombea kazi ni chako? Maana kuna mdada * F4 failure* ameajiriwa ualimu kwa kutumia cheti cha dada yake aliyefaulu na kuendelea na High school.

Mada yake haijataja jinsi ya kuandika barua, hivyo usimsingizie. Jaribu kuheshimu maoni na wenzio.
 
kwa hyo vyote vyote inawezekana kuandika barua ukiwa kazini kuomba kufanyiwa recätegorization au kupga interview na ukipata unapeleka barua kwa ktb mkuu ndugu?

Yes yote yanawezekana, andika barua kwa mwajiri wako ukiomba ufanyiwe recategorization kama kutakuw na nafasi huku ukiendelea kuomba kazi sehemu zingine. Kokote utakako tangulia kufanikiwa ndo utaenda.
 
siku hizi ukiangalia vigezo vya kazi za serikali wanasema kama umeajiriwa nenda kwa mwajiri wako na pia hata ukipata ni bahati tu kwa kuwa wana chek kwanza ambao wameajiriwa tayari maana utaonekana tu kwenye system yao ndipo sasa nataka.

kujua wapi nikiomba kazi sitaonekana kwenye mfumo wa serikali?wengine wanasema kwenye agency kama tanesco wengine hakuna labda uende private wengine wanaitwa interview wkt wana chek namba na kaz za utumish hata cjui wanatumia mbinu gani?naombeni msaada wadau
 
Unawasilisha cheti kwa mwajiri kuthibitisha umequalify kuwa afisa ugavi, unaomba kubadilisha kazi kuwa afisa ugavi. Mwajiri wako kama ana nafasi hiyo ana HR wako ana roho safi utabadilishwa. ila mshahara na cheo ni entry point. 3mil yako ualimu sahau na hakuna personal salary! utaanza kupanda huko kwenye fani mpya
Aisee, hii nimeielewa vyema, kumbe sio dili kabisa
 
Recategorization Hufanyiwa Mtumishi Ambaye Amejiendeleza Na Kupata Sifa Ya Kuingilia Ktk Kazi Husika, Mfano Mwalimu Akijiendeleza Kwenye Uhasibu/ Kilimo Ngazi Ya Shahada, Anaweza Kubadilishwa Kuwa Muhasibu/ Afisa Kilimo Na Kuanza Na Mshahara Wa Cheo Kipya Hata Kama Alikuwa TGTS F Kama Ni Uhasibu Ataanza Na TGS D,kwa Nilivyokuelewa Wewe Ni Mwalimu Na Huhitaji Kufanyiwa Recateg, Kama Unapenda Kufundsha Seko Omba Kubadilishwa Idara Uingia Idara Ya Elimu Sekondari, Ila Zamani Ilikuwa Bed Psyc Unasomea Somo Moja La Content, Nakushauri Uende TSD Katika Wilaya Uliopo Watakuelewesha Vizuri Zaidi.

NAOMBA unisaidie katika hili km unaufahamu nalo vizuri:
Niliajiriwa mwaka 2012 nikiwa na elimu ya Stashahada, mwaka 2016 nikaenda kusoma shahada ya kwanza lakini hadi sasa sijapandishwa daraja. Nilipofatilia nikaambiwa sikukitumikia cheo cha sasa kwa miaka 4 mfululizo kulingana na maelekezo ya sasa. Swali, je nikipeleka cheti nitabadilishiwa muundo wa utumishi na kulipwa mshahara wa shahada ya kwanza?
 
Naombeni ufafanuzi ktk hili:

Mimi niliajiriwa mwaka 2012 nikiwa na elimu ya Stashahada. Mwaka 2016 nikaenda kusoma shahada ya kwanza na nimemaliza mwaka huu lakini hadi sasa sijapandishwa daraja kama wenzangu nilioanza nao kazi. Nilivyofatilia nikaambiwa sikukitumikia cheo cha sasa kwa miaka 4 mfululizo kulingana na maelekezo ya sasa hivi na ninatakiwa kuanza upya.

Swali: Je, kuna uwezekano wa kubadilishiwa muundo wa utumishi na kulipwa mshahara wa shahada ya kwanza nikipeleka cheti cha elimu niliyopata?
 
Back
Top Bottom