Recategorization baada ya kuajiriwa serikalini

walinisumbua hao maHR nikaamua kucanja kazi baada ya kupa ta kaži katika taasisi nyingine nlipowaambia naondoka wakaanza ungesubiri tungekupangia wakati kila ukienda wanamajibu ya hovyo tu ushauri wewe tulia humo humo huku ukicheki deals nyingine za taaluma yako
 
MZIBHAZI

Sheria kandamizi ya RECATEGORAZATION serikalini inasema utaanza na mshahara entry point ya ulichosoma. Hata kama ulikuwa na mshahara wa office management secretary ukaamua kusoma Planning kwenye level ya degree watakurecotegorize na entry point ya planner.

Hakuna tena mshahara binafsi. Wanakuadhibu kwa kunyanganywa mshahara, kwa kujiendeleza kwenye fani isiyo yako.Sjui wapi degree ya secretary au dereva inatolewa
 
Last edited by a moderator:
Jamani wadau naombeni kuuliza mfano mtu ni mwalimu wa shuleni ya msingi ameajiriwa na serikali alaf akawa pia na fani ya manunuzi yaani diploma in procurement and logstics management. Je? Anaweza kufanyiwa recategorization kuhamiamia fani ya procurement? Na procec zake zipoje?
 
Sheria inasema kama nafasi ipo utapewa ila utaanza na entry point cheo na mshahara wa kazi utakayo. Eg ulikuwa unalipwa 3mil kama ticha ukiwa recotegorized to Supplies Officer ambayo entry salary ni 6laki ndio utapewa. Tena mara moja Lawson inakusoma. Wanasema hakuna mshahara binafsi. Kubadilisha fani ni kiherehere chako adhabu yake ni kukuondolea mshahara uliotumikia 20years, 30 na utastaafu na hiyo entry salary ya recotegorization
 
mkuu je hzo nafac huwa znatoka na kuaply mfano u2mishi na kuomba kimyakimya au inakuaje?. Kwa mfano mm nafundisha shule x na nikaona tangazo la serikali likiitaj afisa ugavi je jukumu langu nitafanyeje ili niwe recategorized?
 
Unawasilisha cheti kwa mwajiri kuthibitisha umequalify kuwa afisa ugavi, unaomba kubadilisha kazi kuwa afisa ugavi. Mwajiri wako kama ana nafasi hiyo ana HR wako ana roho safi utabadilishwa. ila mshahara na cheo ni entry point. 3mil yako ualimu sahau na hakuna personal salary! utaanza kupanda huko kwenye fani mpya
 
kaka deo, kuomba kimya kimya inawezekana. Ila sekretariati ya ajira hawafanyi recotegorization. Kama utawambia hujawahi ajiriwa, ukaajiriwa upya system itakukataa kwa kuwa una check namba tayari.
 
Hii imekaa vizuri sana
 
kiukweli wandugu mmenisaidia sana nimesuuzika moyo maana kichwa kilikuwa kinaniuma mkurugenz kk afisa ekimu kk mwl mkuu hii safi na sio afisa utumishi sababu imetolewa xjawah ona barua yyte una adress afisa itumishi mbarikiwe sana wandugu.
 
Hii imekaa vizuri sana

niwaulize tena hivi chek namba inaishia wapi?maana mfano mimi mwalimu nina chek namba nikaenda kuomba kazi kwa agency za serikali mfano tanesco,tra je bado chek namba itasoma kwa tanesco kwamba nimeshaajiriwa hii chek namba kwa serikali wapi haipo.
 
Chek namba inaishia serikali kuu na wakala wake. Na siku hizi kuna Lawson yenye taarifa zote za watumishi wa umma. ila ukitoka serikalini ukaenda tanesco, nhc, kule utapeta hawana system na utumishi. kwa uelewa wangu ndivyo ila niko hapa to be corrected
 
mimi ni mwalimu wa primary bagamoyo nataka kuhamia uhasibu maaana nilisoma accounts level ya degree je barua ya recategorization ipite kwa nani kati ya afisa elimu,mkurugenz au afisa utumish

barua yako inaanzia kwa mkuu wako wa idara then kwa utumishi ambaye ataitisha bodi ya ajira kama unakidhi vigezo wanakupitisha baada ya hapa kamati ya fedha na utawala inapitisha.unakuwa tayari umebadilishwa kazi. Angalizo mshahara unaanza mwanzo kama first entrance.
 
Zoezi hili linachukua muda gani kukamilika, mfano barua imeandikwa June 10/2015, na mwaka wa fedha ni July, 2015/16 je hapo awamu ya pili anaweza kuwa tayari kwenye sdystem ya ajira mpya!?
 
unategemea na ulazima kwa wakati huo Afisa utumishi ataangalia maana kazi ya bodi ni pamoja na kubadilisha kazi,kuthibitisha pamoja na kupandisha madaraja.so hakuna muda maalum naweza kwambia lakini huwezi kuitisha bodi kwa ajili ya mtu mmoja ni gharama.vuta subira mkuu.
 
Umesoma nini Ndugu yangu naomba unipigie simu nikupe utaratibu WA kufuata. ambao no rahisi sana.0755759404
 
Mi mwenyewe nashangaa .degree ya acc ndo ushindwe hats kuandika barua.you must be kilaza my friend.otherwise. Amna degree apo?
 
Asante sana mkuu kwa ushaurii wako sasa baada ya hapo ukithibitishwa unaweza kwenda kufanya kazi gani halmashauri??tofautu na kufundisha vyuoni?

Recategorization Hufanyiwa Mtumishi Ambaye Amejiendeleza Na Kupata Sifa Ya Kuingilia Ktk Kazi Husika, Mfano Mwalimu Akijiendeleza Kwenye Uhasibu/ Kilimo Ngazi Ya Shahada, Anaweza Kubadilishwa Kuwa Muhasibu/ Afisa Kilimo Na Kuanza Na Mshahara Wa Cheo Kipya Hata Kama Alikuwa TGTS F Kama Ni Uhasibu Ataanza Na TGS D,kwa Nilivyokuelewa Wewe Ni Mwalimu Na Huhitaji Kufanyiwa Recateg, Kama Unapenda Kufundsha Seko Omba Kubadilishwa Idara Uingia Idara Ya Elimu Sekondari, Ila Zamani Ilikuwa Bed Psyc Unasomea Somo Moja La Content, Nakushauri Uende TSD Katika Wilaya Uliopo Watakuelewesha Vizuri Zaidi.
 
mkuu ubarikiwe sana. Mana wengi walioajiriwa na serikali huwa hawajui kitu kama hchi.
 
Back
Top Bottom