Recategorization against current salary

Recategorization against current salary

Recategarization Ina faida na hasara.
Mtu unakaa miaka 15 kazini ndio unaenda kusoma ukifanyiwa recategarization unaanza kulipwa mshara wa mtumishi mpya kwa kada husika
 
Sorry, recategirization ndio ikoje. Je kwa mwalimu mwenye diploma akaenda kujiendeleza Degree ya ualimu maybe after miaka 9. Mnataka kunambia atarudishwa TGTS D?
 
Sorry, recategirization ndio ikoje. Je kwa mwalimu mwenye diploma akaenda kujiendeleza Degree ya ualimu maybe after miaka 9. Mnataka kunambia atarudishwa TGTS D?
Kwa muongozo uliopo, jibu ni ndio. Kama una mpango huo wa kusoma bora usome mapema sasa hivi kuepuka hizo inconvenience
 
Back
Top Bottom