Reasonable fee - thesis supervision (social science)

Reasonable fee - thesis supervision (social science)

ganthi

Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
6
Reaction score
0
wana JF

tunacharge a reasonable fee for thesis supervision, development of research proposal and project write-up. kama unahitaji service please pm for further elaboration.

karibu
 
Huu uandishi wako hauendani na kitu unachotaka kukifanya.
 
wana JF

tunacharge a reasonable fee for thesis supervision, development of research proposal and project write-up. kama unahitaji service please pm for further elaboration.

karibu
tupe CV yako -Hasa academic qualifications and research experience
 
kwa thesis supervision siwaungi mkono
nyie ndio mnachangia kudumaa kwa elimu mtu ana masters au phd lakini kichwani zero kumbe kafanyiwa
mtu wa thesis anasimamiwa na supervisor wake na sio zaidi ya hapo
kazi anaifanya mwanafunzi mwenyewe,,,,,,,,
hayo mengine fanyeni lakini sio hilo mlilolitaja.....
 
wana JF

tunacharge a reasonable fee for thesis supervision, development of research proposal and project write-up. kama unahitaji service please pm for further elaboration.

karibu

Yamkini una hoja na unafanya kitu kizuri. Hata hivyo unahitaji kuwa wazi zaidi hasa ukizingatia kuwa kumekuwa na wimbi la wanafunzi kuandikiwa, kununua au hata kufanyiwa tafiti mbalimbali na hatimaye kutuzitumia kama tafiti zao kutunukiwa shahada katika vyuo mbalimbali hapa nchini. Kwa sababu hiyo, nina maswali kadhaa ambayo ni muhimu ukiyajibu ili kuondoa wasiwasi huu:
  1. Je, wewe ni nani, ni mtalaamu wa fani gani, na unafanyia wapi shughuli zako?
  2. Unasupervise thesis katika nyanja ipi maana kusema 'social sciences' tu haitoshi. Social sciences ni field pana sana kutoka uchumi hadi soshologia, kutoka anthropologia hadi fasihi ya lugha, kutoka sheria, falsafa, maendeleo ya jamii, mipango hadi theologia n.k. Huwezi kuwa mtalaam wa yote haya na mengine mengi ambayo sijayataja.
  3. Unasupervise kwa ngazi zipi za masomo....stashahada, shahada ya kwanza, shahada ya uzamili au uzamivu??
  4. Kama 'unasupervise' kama ulivyosema, je, nini tofauti ya kazi yako na supervisors rasmi wa wanafunzi husika katika vyuo wanavyosoma?
Ni hayo tu kwa sasa, wadau wengine wanaweza kuongezea maswali mengine
 
Duh ajira ngumu aisee,yani unaomba supervision ya tafiti kwa aya moja,aisee basi hatari sana.
 
wana JF

tunacharge a reasonable fee for thesis supervision, development of research proposal and project write-up. kama unahitaji service please pm for further elaboration.

karibu

You have no idea what you are marketing; how can we be sure of what you will eventually do once you are engaged? For your information, supervision is a term of art reserved to an appointed faculty member with requisite qualifications and competencies, also referred to as promoter. If you want to assist students and charge reasonably, you do that as a reviewer or a reader.
 
wewe ndo unafanya vijana wetu wawe vilaza kabisa. hiyo ni criminal offence. unatakiwa uchomwe ndani na uliwe kizigo?!!
Inaelekea ni mwizi wa kazi za watu pia
 
Back
Top Bottom