Realhost free internet kwa mobile users- vodacom

Realhost free internet kwa mobile users- vodacom

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,062
Reaction score
43,489
mambo zenu
i want to share this trick kwa watumiaji wa simu ambao ni wavivu wa kutumia proxy

kuna kitu kinaitwa real host kinamuwezesha mtumiaji kutumia net ya bure kama kuna acses ya free site

unachotakiwa kufanya downlod mafile kutoka link ntakayokupa hapo chini(opera mini na ucweb) na fata maelekezo haya

utadownload na kuistall/ku open either opera mini au ucweb au ukitaka download yote

ukiopen hizi software zako utaona handler menu click kwenye network setting then shuka chini utaona proxy type click hapo then chagua real host

kwenye proxy server andika 0.facebook.com (bila http)

then click ok ur done enjoy free net.

Note: mara ya kwanza hutumia mda kuload so kua mvumilivo soft ziikiji install

link ya kudownload opera na ucweb za real host hii hapa

real host opera and ucweb

nasubiria matokeo toka kwenu
 
Mbona hiyo opera ina load mda mrefu tu n' final haikonect
mbona zile sehem zilizo wazi zingine hauja sema 2zjaze vp au 2naacha wazi 2 kama vile port na costem
 
Mbona hiyo opera ina load mda mrefu tu n' final haikonect
mbona zile sehem zilizo wazi zingine hauja sema 2zjaze vp au 2naacha wazi 2 kama vile port na costem

yah acha wazi kote we just eka proxy type iwe realhost na proxy server 0.facebook.com
 
Yan nimefuata procedure zote lakn nikisave baada ya mda inakata yenyewe.
 
Yan nimefuata procedure zote lakn nikisave baada ya mda inakata yenyewe.

hebu jaribu ucweb kwanza maana ndo easy ku set up ikikubali fanya instalation ya opera bila trick then iki install ndo eka hio trick
 
Mzeya mbona mi nimejaribu zote znazngua na line yangu ina sh.2.05 vp wap nimekosea coz zna load kwa muda then zna feli?
 
Mzeya mbona mi nimejaribu zote znazngua na line yangu ina sh.2.05 vp wap nimekosea coz zna load kwa muda then zna feli?

umeeka proxy type kama real host? Then proxy server ukaeka 0.facebook.com

alternative install kwanza then zikimaliza kuload kwa net ya kawaida ndo eka hio trick
 
Thanx mkuu CM, Inafanya kazi, nimetumia UCbrowser.
 
Mkuu mbona wanakomba hela au ukiwa na sifuri?
 
Back
Top Bottom