Real Problem Between Kagame and Kikwete is Snitching

Status
Not open for further replies.
Hii story sio ya kweli..Kikwete hawezi kumsnitch Kagame..amsnitch kwa kipi wakati ukweli unajulikana rwanda ndo wanasapoti waasi wa Kongo???UN wamefanya research zao wamefahamu ukweli huo...ila sasa wazungu wamemchoka Kagame na wanataka aondoke tuu..si alijifanya kichwa ngumu kwa wafaransa???Kwa hio wazungu wameamua kuitumia Tz kumuondoa huyo jamaa kwa nguvu kama walivyofanya kwa Idd Amin....watch this space and you will see...soon or later PK will be out .....remember Gaddafi, Mubarak et al.
 
Mkuu Jasusi
I completely agree with you Kagame has not and will never be a threat to Tanzania........

....unless humjui PK....na statement kama hiyo haichukuliwi kimzaha.......na hipuuzwi....kwa sababu ni tofauti........
 

Kikwete ni snitch yes, lakini hakuna snitch wabaya duniani kama wakenya.... hadi wana stink, kikwete may be only 30% ya usnitch wa wakenya, hata ukutane nao el salvador, lazima wakusnitch tu
 
Huku niliko nimewapoteza marafiki zangu Wakenya na familia zao tangu wasikie Obama atatembela Tanzania....sasa mwezi umepita...hata nikiwapigia simu inaenda moja kwa moja kwenye voice mail.......duuhh!
 
Hivi, mtawapelekaje Kagame na Museveni ICC wakati Bashir amewashinda? Tuanze na Bashir. Huyu ameua mamia ya maelfu Darfur.


Suala la Al-Bashiri ni suala la mda atakamatwa tu na atfikishwa mahakani, hata Kagame anavyozidi kujitutumua ndivyo anavyoisogelea ICC. Japo anataka kutumia matatizo ya Kenya kushawishi mataifa ya Afrika yawe na msimamo tofauti.
 
How do we know for certain the recent attack on our soldiers in Sudan was from the Sudanese militia, there are some who believe the attack was planned by Kagame and his closest ally President Museveni, by implanting their own militia posing as Janjaweed.


Rumour has it the recent assault on M23 in Congo was a retaliation from the Tanzanian government on what happened in Sudan. In other words it was a clear message we know who done our soldiers in Sudan and if we chose to; we could remove M23 in Congo ourselves.
JK has no gain in trying to influencing matters that are already on international discussion and awaiting the course of action. There are scores of documentaries already aired by BBC to its audience prior to JK asking for dialogue between the differing perspectives in Rwanda, showing all what is wrong and Kigali’s participation.


Many of the western governments have now withdrawn their development funds which were aimed for Rwanda, who know what is going on behind the scenes may be JK is being used as an instigator of what is to come from the west.


The naive in all this is the Kenyan president by picking the wrong side of the feud. However somehow you can understand where he is coming from considering he is also a man of interest in the international court. Even with that on the back of his mind surely President Kenyatta can not support the two dictators bearing in mind Kenya’s ambitions of attaining democratic values of their own and improving the integration of EAC blocks.


But then Kenyans are known for their opportunism and the current situation favours them economically in the short term by siding with Uganda and Kigali whilst Tanzania is still loitering with the idea of land, whilst Uganda offers less land complications....................nonsense!

Two president wameenda kuplan kuuwa Askari wa Tanzania, unaweza kuthibitisha hayo? Usichezee maisha ya watu msiba huu haujaisha wajane bado wamevaa nguo za msiba, unaweza kuthibitisha taarifa yako ili kuwapa amani watanzania?
 
Mkuu nakuhunga mkono, hoja hii inapashwa kujadiriwa kwenye kikao cha Bunge cha mwezi huu - ukaribu wa Marais hawa watatu si jambo la kupuuzia kwa usalama wa Taifa letu na Rais wetu, jamaa hawa kuna vitu wanapanga behind the scene, leo nimesikia Serikali ya Somalia ikilalamika kwamba Kenya inawaingilia katika uendeshaji wa nchi yao, wamesema waondoe majeshi yao Kismayu na Somalia kwa kuwa wanawapa silaha baadhi ya Wasomali ili walete machafuko nchini kwa kupinga Serikali iliyo madarakani, sasa unaona yale yale ya DRC yanataka kujirudia Somalia. Kenyatta mwenye ni mtuhumiwa wa mauuaji kaingia madarakani kimizengwe zengwe, PK na M7 walingia madarakani kupitia mtutu wa bunduki mtu unategemea ushirikiano wa namna hii utazaa nini eventually - ni hatari kubwa, hilo watu hawalioni.
 
Huyu aliyeleta mada ni mnyarwanda kibaraka wa kagame anaishi kenya.anyway kagame na kenyatta hawa waume zako lazima waende icc wanyonya damu wakubwa!
 
"Snitch"
(Kagame feat. Mseveni)


[Intro: Paul Kagame + (Uhuru) {Mseveni}]
{Convict}
(Yeah, haha haha Uhuru)
{Convict Music}
(Guess who's back)
Still here, haters
{Mseveni & Paul Kagame, Yeah}
Whatcha gonna do it with it, A?
Whatcha gonna do?
{Take em on back to the street}

[Chorus: Kagame]
I keep the 40 cal on my side,
Stepping with the mind state of a mobster,
You see a nigga pass by,
Tuck your chain in cause he might rob ya,
Got glocks for sale, red tops for sale,
Anything that you need, believe me, I'm gon' lace you,
Just don't, whatever you do, Snitch
Cause you will get hit, pray I don't face you, yeah

[Mseveni]
It's risky, the bitch tend to rise out a nigga
It's history, Snitch, who decided he's a member
Once he got pinched, coincided with law
Same homie say he lay it down for the boy
Brought game squad around ours
How could it be? Been homies since Superman draws
Only phoniness never came to par
He had us, a true neighborhood actor
Had his back with K's
Now we see through him like X-Ray's
Cuffed in that Adam car
No matter, his loss, we at him, it's war
Knowing not to cross those reservoir dogs
You helped plant seeds just to be a vegetable
When we invest in team, it's to the death fo' sho'

[Hook]
No ex and oh's, tex calicos
Aim at your chest nigga

[Chorus]

[Kagame]
We started out as a crew, in one speak, it's all honest
Private conferences when we eat, Benihana's
Recondences when we peep enemies on us
Been in these corners, selling like anything on us
Knowing heaven has shown us being devil's minors
That ain't got shit to do with the tea in China
We gon' keep the grind up 'til death come find us
Mean time leanin' in them European whips reclined up
It's an eye for an eye for the riders
We ain't trying to get locked up, we soul survivors
Po Pos is cowards, there's no you, it's ours
We vow this, mixing yayo with soda powder
Who woulda known he would fold and cower
Once the captain showed, he sold whole McDonald's
So...

[Hook]

[Chorus]

[Kagame]
Nowadays, Da Bull's got the game full
So he move to a rural area to keep cool
They snitching on a snitch now, there's nothing to tell
Nowadays, your circles should be small as hell
Ain't trying to meet new faces, this don't interest me
Even if we bubble slow, we get it eventually
No penitentiary, there will be no climincy
You will meet the lowest snitch in given us a century
These cats is rats now, the streets need decon
That's how they react now, weak when the heat's on em
Stop snitching, you asked for the life your living
This act is not permitted, Nowhere on the map, It is
Forbidden to send a nigga to prison if you been in it
Along with em and then snitch and become hidden
So...

[Hook]

[Chorus]

[ kagame]
You rat bastard
 
President Kikwete has nothing to do with ICC, remember y Kibaki visited Tanzania 2 wks before Kenya election! Kagame is killer he killed Professor Mwaikusa, and theTutsi they think that they were born to rule others.
Story za kumhusisha kagame na kifo cha mwaikusa ni story za umuvugizi
 
our presdent?
we semea nafsi yako!
Kwan,hujui kuwa cdm ha2mtambui ba' riz kama rais?
Yeah,he z gona personally pay it..kwan u*** huwa unauza nae?
Au we Azan nin?

Nani hamtambui JK kama Rais? Wenzio wote wanamtambua nadhani umebaki peke yako.
 

umeua, ukweli ni kwamba kagame kanyea kambi, na kenya wakae kimya hayawahusu tunaweza askari mia nane tu anapiga kelele
 
why can`t u just go to helll!
 
This seems realistic.Advice tu isingeleta ugomvi mkubwa kiasi hicho.Ni kweli Kagame anastahili kwenda ICC kwa vile anatumika sana kui-stabilize DRC.Lakini Rais wangu Kikwete matatizo ya DRC siyo priority kwa sasa.Tunge-clean our house first.Tuna matatizo mengi mno.Charity starts at home.
 
duuuu kama pole sana...hao ndo jirani zetu,hovyo kabisa
Huku niliko nimewapoteza marafiki zangu Wakenya na familia zao tangu wasikie Obama atatembela Tanzania....sasa mwezi umepita...hata nikiwapigia simu inaenda moja kwa moja kwenye voice mail.......duuhh!
 
Two president wameenda kuplan kuuwa Askari wa Tanzania, unaweza kuthibitisha hayo? Usichezee maisha ya watu msiba huu haujaisha wajane bado wamevaa nguo za msiba, unaweza kuthibitisha taarifa yako ili kuwapa amani watanzania?

Kwanza sikusema my allegations were substantiated ndio maana nimetua maneno kama "there are some who believe" and "rumuor has it" meaning those are not absolute facts. On the other hand most media's that covered the ambush also haven't established beyond reasonable doubt that Khartoum was involved, or even tying them.

Hila kuna watu pia wameandika in diplomatic language on the issue and the substance fit for the informed mind to make its own conclusion as in the article below from the French Media.

source: Tanzania shocked by Darfur UN killings | News24
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…