Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,090
- 5,161
Mambo Vp Wakuu, hope bado tupo na ile spirit tuliyokuwa nayo msimu uliopita, baada ya kujipata mapumzimko ya kutosha nimerudi tena kuendeleza mtanange.
Shukran kubwa sana kwa Wakuu Salamander na Roger kwa kazi nzuri mnayoifanya ya kutuhabarisha., pamoja sana Wakuu
[HASHTAG]#Halamadrid[/HASHTAG]!!
Shukran kubwa sana kwa Wakuu Salamander na Roger kwa kazi nzuri mnayoifanya ya kutuhabarisha., pamoja sana Wakuu
[HASHTAG]#Halamadrid[/HASHTAG]!!